Phiri: Ngassa atatupa ubingwa
![](http://api.ning.com:80/files/yIRAODsxTEzRwTVpZ-hb8gK0LTk3YzAaYIFvT3p*UfjB-mDLHTxT57tBwWazW3jiDWO1jUhU9uAepYY2In4Jeye4jE0HImcW/GHJJ.jpg)
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfani Ngassa. Wilbert Molandi,Dar es Salaam KUTUA kwa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfani Ngassa, kumempa matumaini Kocha Mkuu wa Free State Stars, Kinnah Phiri kufanya vyema msimu ujao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) na kusema anaweza kuwafanya wakatwaa ubingwa. Hivi karibuni kiungo huyo alisaini mkataba wa miaka minne kuichezea timu hiyo. Ngassa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Aguero: Messi atatupa ubingwa wa Dunia
MSHAMBULIAJI wa Manchester City ya England, Sergio Aguero amesema kwamba yuko fiti na tayari kwa ushitikiano hatari na nyota wa FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, kuongoza jaribio la timu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-0UoGF3SiMTPj5*M3GyIQSNDMz*H08PA2OpXqN0TCkzfUfOX37uhcu9uJsSajUMRcYXBJI1IAvnaLn9ykXrRdlP/1DAR.jpg)
Tambwe amlilia Ngassa
9 years ago
TheCitizen11 Nov
Samatta, Ulimwengu, Ngassa out
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dHlpmXXOuPUjIuq3xF4ZMbY9adxei1*fblUkIDnFoU1dAuwtDPQMsGViSiVqe8g8XFxMsiTAIjo3YYL9r2D-f3LWraM7CR*3/nvgasa.jpg)
Ngassa atorokea Sauz
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIot814mV9jV7wMGhakpAMMfpAOXarE797pU*MSUPfsiQpY*600YtWKfumn*0WRIOpsR2NdA68s3ekqwkAE6o83K/1.gif?width=650)
Ngassa asaini Sauz
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Ngassa gumzo Etoile
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia saluti mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa kuwa ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa.
Ngassa alionyesha kiwango kikubwa wakati timu yake ikivaana na Watunisia hao kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ulioisha kwa sare ya bao 1-1.
Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya mchezo huo kocha huyo alisema, Ngassa ameweza kuendana na kasi waliyokuwa nayo wachezaji wake na...
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Ngassa aibukia Yanga
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ngassa amwaga mboga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVL1uqtpfZZLtcBZC4hy*WOGqTdtPMvOKZRNJsXze3HZuUbm2Z7Wyt0DLGTiRlZx1WchLg6OhOUfV*i8wAyjyvT*/NGASA.jpg?width=650)
Ngassa atoa saa 24 Yanga