Ngassa gumzo Etoile
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia saluti mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa kuwa ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa.
Ngassa alionyesha kiwango kikubwa wakati timu yake ikivaana na Watunisia hao kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ulioisha kwa sare ya bao 1-1.
Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya mchezo huo kocha huyo alisema, Ngassa ameweza kuendana na kasi waliyokuwa nayo wachezaji wake na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s72-c/MMGL0570.jpg)
YANGA, ETOILE ZAINGIZA MIL 22
![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s1600/MMGL0570.jpg)
Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi 869, VIP C tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi 32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh....
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74511000/jpg/_74511294_ahly_etoile.jpg)
Ahly and Etoile to renew rivalry
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Etoile wabashiri bakora tatu
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Kocha Etoile aingia mitini
NA ONESMO KAPINGA
KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.
Kwa...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71828000/jpg/_71828743_lemerre.jpg)
Lemerre appointed coach of Etoile
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Yanga, Etoile gusa unase
10 years ago
Mwananchi02 May
Yanga, Etoile ni vita pevu
9 years ago
Habarileo01 Dec
Etoile mabingwa Shirikisho Afrika
TIMU ya Tunisia ya Etoile Du Sahel juzi iliifunga Orlando Pirates 1-0 ya Afrika Kusini katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho na kutwaa taji hilo kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Etoile na Yanga kupimana ubavu