Etoile na Yanga kupimana ubavu
Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia inategemewa kuwasili Dar es Salaam wiki hii kwa ajili ya mechi dhidi ya Yanga.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
Twiga kupimana ubavu na Kenya
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars), inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na wenzao wa Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015.
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Vikundi 50 kupimana ubavu, Tamasha Bagamoyo
Kuwa mzalendo yataka moyo; ni usemi wa Kiswahili unaoainisha namna ilivyo vigumu kwa watu kujitoa au kuonyesha mapenzi kwa taifa au kielelezo cha utaifa wake, mathalan utamaduni.
10 years ago
Mwananchi02 May
Yanga, Etoile ni vita pevu
Sousse, Tunisia. Yanga imefanyiwa vurugu za kila namna baada ya kutua jijini Tunis na wapinzani wao, Etoile du Sahel juzi, lakini kocha Hans Pluijm amesema hakuna kipya katika vitimbi hivyo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s72-c/MMGL0570.jpg)
YANGA, ETOILE ZAINGIZA MIL 22
![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s1600/MMGL0570.jpg)
Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi 869, VIP C tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi 32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh....
10 years ago
Vijimambo06 Apr
Yanga kuivaa Etoile Afrika
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/msuva-yanga.jpg)
Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa, timu ya Yanga, itacheza dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika hatua ya 16-Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika, imefahamika.
Yanga itaikabili Etoile baada ya miamba hao wa Tunisia kulazimisha sare ya 1-1 ugenini Angola dhidi ya Benfica jana na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia ushindi wa 1-0 katika mechi yao ya kwanza.
Yanga watacheza dhidi ya...
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Yanga kukwaana na Etoile du Sahel
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya vilabu ya kombe la Shirikisho barani Afrika watacheza na Etoile du Sahel ya Tunisia.
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Yanga, Etoile gusa unase
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Hans Pluijn ana siku mbili za kutafuta mbinu sahihi za kuzuia mashambulizi hatari ya kipindi cha kwanza ya Etoile du Sahel ya Tunisia, Jumamosi kwa ajili ya kujihakikisha matokeo mazuri kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLYanga SC watengewa 500m waiue Etoile
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini. Khadija Mngwai na Saphyna Mlawa
INAWEZEKANA safari hii Yanga wamejipanga kisawasawa na hawataki tena historia iwatafune, hiyo ni baada ya kuelezwa kuwa uongozi wa klabu hiyo umetenga donge nono kwa wachezaji wake kuhakikisha wanaitoa Étoile du Sahel ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga inatarajiwa kukipiga na Waarabu hao katika raundi ya pili ya michuano hiyo ambapo mechi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania