Twiga kupimana ubavu na Kenya
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars), inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na wenzao wa Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Etoile na Yanga kupimana ubavu
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Vikundi 50 kupimana ubavu, Tamasha Bagamoyo
9 years ago
StarTV14 Aug
Twiga Stars kujipima ubavu na Harambee Starlets.
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) iliyopo kambini kisiwani Zanzibar, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Wanawake kutoka Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015.
Mchezo huo wa kirafiki utachezwa katika uwanja wa Aman Kisiwani Zanzibar, ikiwa ni sehmu ya maandalizi ya kikosi hicho kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) zitakazofayika nchini Congo-Brazzavile kuanzia Septemba 4 – 19, 2015.
Twiga Stars inaendelea na mazoezi kutwa...
9 years ago
Habarileo18 Aug
Kenya kuwapa changamoto Twiga Stars
KOCHA wa timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars Rogasian Kaijage amesema mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Kenya utawapa changamoto ya kutambua nafasi yao kwenye mashindano ya All African Games yatakayofanyika mwezi ujao.
9 years ago
Habarileo24 Aug
Twiga Stars, Kenya hakuna mbabe
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars, jana ilitoka sare ya kufungana 1-1 na wenzao wa Kenya, Harambee Starlets, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan.
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Kenya: Twiga weupe wa kipekee wameuawa eneo la Kaskazini
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Chadema, Polisi kupimana nguvu leo
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewahamasisha wanachama wake walio jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani kufurika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakati mwenyekiti wao Freeman Mbowe atakapohojiwa, huku jeshi hilo likionya raia yeyote kutosogelea eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu, Dk....
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Arsenal kupimana nguvu tena na Bayern