Kenya kuwapa changamoto Twiga Stars
KOCHA wa timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars Rogasian Kaijage amesema mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Kenya utawapa changamoto ya kutambua nafasi yao kwenye mashindano ya All African Games yatakayofanyika mwezi ujao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Aug
Twiga Stars, Kenya hakuna mbabe
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars, jana ilitoka sare ya kufungana 1-1 na wenzao wa Kenya, Harambee Starlets, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan.
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Twiga Stars kibaruani
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Twiga Stars yatolewa
11 years ago
TheCitizen14 Feb
Twiga Stars out to down Zambians
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aNYZHU1S6QU/VcS3CWezBWI/AAAAAAAHvGw/US1RJBXmAKA/s72-c/thumb_IMG_6850_1024.jpg)
TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-aNYZHU1S6QU/VcS3CWezBWI/AAAAAAAHvGw/US1RJBXmAKA/s640/thumb_IMG_6850_1024.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kA5_JFqxxXM/VcS3DVqnqxI/AAAAAAAHvHA/gQU-DFBwCCc/s640/thumb_IMG_6874_1024.jpg)
Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...
9 years ago
Habarileo03 Sep
Twiga Stars yaenda Congo
HATIMAYE timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars, inatarajia kuondoka leo jioni kwa ndege maalum kwenda Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika ( All African Games).
9 years ago
Habarileo12 Sep
Twiga Stars yakamilisha ratiba
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, leo inacheza mechi ya mwisho dhidi ya wenyeji Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika.
9 years ago
Habarileo02 Sep
Twiga Stars giza nene
TIMU ya taifa soka ya taifa ya wanawake Twiga Stars jana ilishindwa kwenda Congo Brazzaville, kushiriki Michezo ya Mataifa ya Afrika kwa sababu ya ukata, imeelezwa.