Yanga SC watengewa 500m waiue Etoile
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini. Khadija Mngwai na Saphyna Mlawa INAWEZEKANA safari hii Yanga wamejipanga kisawasawa na hawataki tena historia iwatafune, hiyo ni baada ya kuelezwa kuwa uongozi wa klabu hiyo umetenga donge nono kwa wachezaji wake kuhakikisha wanaitoa Étoile du Sahel ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga inatarajiwa kukipiga na Waarabu hao katika raundi ya pili ya michuano hiyo ambapo mechi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Etoile na Yanga kupimana ubavu
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Yanga, Etoile gusa unase
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s72-c/MMGL0570.jpg)
YANGA, ETOILE ZAINGIZA MIL 22
![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s1600/MMGL0570.jpg)
Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi 869, VIP C tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi 32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh....
10 years ago
Mwananchi02 May
Yanga, Etoile ni vita pevu
10 years ago
Vijimambo06 Apr
Yanga kuivaa Etoile Afrika
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/msuva-yanga.jpg)
Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa, timu ya Yanga, itacheza dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika hatua ya 16-Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika, imefahamika.
Yanga itaikabili Etoile baada ya miamba hao wa Tunisia kulazimisha sare ya 1-1 ugenini Angola dhidi ya Benfica jana na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia ushindi wa 1-0 katika mechi yao ya kwanza.
Yanga watacheza dhidi ya...
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Yanga kukwaana na Etoile du Sahel
10 years ago
TheCitizen07 Apr
Yanga harbour hopes despite Etoile pedigree
10 years ago
GPLYANGA, ETOILE DU SAHEL NGUVU SAWA
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Majeruhi Yanga kuikabili Etoile du Sahel