Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Etoile aingia mitini

faouzibenzartiNA ONESMO KAPINGA

KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.

Kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA

Stori:  Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la  Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la  Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni...

 

10 years ago

Habarileo

Mashali aingia mitini kupima uzito Dar

BONDIA Thomas Mashali jana alishindwa kutokea kwenye upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wake wa leo dhidi ya Ibrahim Tamba utakaofanyika kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Pambano lao litatanguliwa na mapambano ya awali 10.

 

11 years ago

GPL

NDUGU AINGIA MITINI NA RAMBIRAMBI MSIBA WA TYSON

MAMBO yamezidi kuwa mambo! Kifo cha aliyekuwa mwongoza filamu za Bongo, George Otieno ‘Tyson’ kimezidi kuzua mapya, safari hii ikidaiwa ndugu mmoja (jina tunalo) ameingia mitini na pesa za rambirambi zilizochangwa jijini Dar es Salaam wakati wa msiba huo. Raisi wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo katika msiba wa marehemu George Tyson wakati wa kumuaga katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City aingia mchecheto

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mvua zinazoendelea kunyenya jijini Mbeya kwa sasa zinamwaribia mpango wake wa kuikabili Simba kesho.

 

11 years ago

GPL

WASANII WAINGIA MITINI 40 YA GURUMO

   Ndugu, jamaa na marafiki wakisoma dua.   Baadhi ya wanamuziki na wadau wa muziki wa dansi nchini Juma Mbizo, Said Mabela, Kibiriti, Hassan Bichuka na Mbwembwe wakiwa nyumbani kwa marehemu Gurumo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Simba, Yanga waingia mitini

Wakati Yanga na Simba zimerudi mazoezini kujiandaa na pambano lao la Nani Mtani Jembe 2, litakalofanyika Desemba 13, mazoezi yao yalianza na idadi ndogo ya wachezaji jana.

 

10 years ago

GPL

RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI


Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. MAYASA MARIWATA NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu. Akipiga stori na gazeti hili, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii...

 

9 years ago

Mtanzania

Walioahidi kuchangia ‘Chozi la Fukara’ waingia mitini

Muigizaji JohaNA MANENO SELANYIKA

MWIGIZAJI chipukizi nchini, Martine Tiho, amewataka wabunge, wasanii wenye majina makubwa katika sanaa na watu maarufu walioahidi michango ya fedha wakati alipozindua filamu yake ya ‘Chozi la Fukara’ watekeleze ahadi hizo ili aweze kukamilisha na kuipeleka filamu hiyo sokoni mapema kama alivyopanga.

Tiho alisema hakuna aliyekumbuka kutoa fedha walizomwahidi hivyo ameona bora awakumbushe kupitia gazetini kwamba filamu yake inatakiwa kuwa sokoni mapema mwishoni mwa mwezi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo ya Nje ‘waingia mitini’ semina ya Bunge

Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, waliokuwa wafike bungeni jana kutoa mada kuhusu suala la uraia pacha kwa wajumbe wa Bunge Maalumu, ‘waliingia mitini’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani