BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA
![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrfy16inh5JleImo*Pr9CYM-vNDf7ssyPqQnnL7DlfV03hG*MJnvD1xb7qd4omhn91O*L*DIofVtYgknw9UeWuP/ndoa.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Kocha Etoile aingia mitini
NA ONESMO KAPINGA
KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.
Kwa...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
9 years ago
Habarileo29 Aug
Mashali aingia mitini kupima uzito Dar
BONDIA Thomas Mashali jana alishindwa kutokea kwenye upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wake wa leo dhidi ya Ibrahim Tamba utakaofanyika kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Pambano lao litatanguliwa na mapambano ya awali 10.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZClWuZcsZqUM24K*j7gmD7XPjYF0gXqkA1uXmKQx8L9jCMWk-GhdZ0njsDVKLYefY01sYf6s5japV7Py0cmCIzwR/tyson.jpg?width=650)
NDUGU AINGIA MITINI NA RAMBIRAMBI MSIBA WA TYSON
10 years ago
GPL![](http://vibe.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/Elizabeth-Michael-Lulu.jpg?width=650)
NDOA YA LULU YABUMA!
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxU5bvtig540yXh3qI8vJ2aetrCkBKdPm3xv*N9h2g81pdHzsIbghRqic6U*R8nGJhs5VgZmDtiLxY6bzEFw-BTu/Isabela.jpg?width=650)
NDOA YA ISABELA KARAMA YABUMA