Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashali aingia mitini kupima uzito Dar

BONDIA Thomas Mashali jana alishindwa kutokea kwenye upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wake wa leo dhidi ya Ibrahim Tamba utakaofanyika kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Pambano lao litatanguliwa na mapambano ya awali 10.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kocha Etoile aingia mitini

faouzibenzartiNA ONESMO KAPINGA

KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.

Kwa...

 

11 years ago

GPL

NDUGU AINGIA MITINI NA RAMBIRAMBI MSIBA WA TYSON

MAMBO yamezidi kuwa mambo! Kifo cha aliyekuwa mwongoza filamu za Bongo, George Otieno ‘Tyson’ kimezidi kuzua mapya, safari hii ikidaiwa ndugu mmoja (jina tunalo) ameingia mitini na pesa za rambirambi zilizochangwa jijini Dar es Salaam wakati wa msiba huo. Raisi wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo katika msiba wa marehemu George Tyson wakati wa kumuaga katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
Kwa...

 

10 years ago

GPL

BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA

Stori:  Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la  Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la  Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseba, Alibaba kupima uzito leo

MABONDIA Japheth Kaseba wa jijini Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo majira ya saa 4 asubuhi watapima afya na uzito katika Ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner...

 

9 years ago

Habarileo

King Mawe, Mulo kupima uzito leo

MABONDIA Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ na Ally Mulo wanatarajia kupima uzito leo kwa ajili ya pambano lao litakalofanyika kesho katika viwanja vya shule ya Uhuru Wasichana Kariakoo Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA


MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Ally Mulo watapima uzito siku ya ijumaa kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi utakaofanyika katika viwanja vya basketball vilivyopo katika shule ya uhuru wasichana Kariakoo Dar es salaam
akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22
mbali na mabondia...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA STEND YA BAGAMOYO KWA AJILI YA MPAMBANO WA JUMAMOSI

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam watapima uzito siku ya ijumaa katika stendi kuu ya mabasi Bagamoyo na kupigana siku ya jumamosi ya mei 16 katika ukumbi wa che kwa che

uliopo Bagamoyo mjini ambapo mabondia hawo watamalizia ubishi wao wa nani zaidi kati ya bagamoyo na Chanika

mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa P.S.T litakuwa la raundi sita na kg 61 ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi siku...

 

11 years ago

TheCitizen

Maugo silences Mashali in Dar

Veteran boxer Mada Maugo walked into the ring on Friday at the National Stadium as the underdog in his rematch with Thomas Mashali. He walked out the winner.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani