NDUGU AINGIA MITINI NA RAMBIRAMBI MSIBA WA TYSON
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZClWuZcsZqUM24K*j7gmD7XPjYF0gXqkA1uXmKQx8L9jCMWk-GhdZ0njsDVKLYefY01sYf6s5japV7Py0cmCIzwR/tyson.jpg?width=650)
MAMBO yamezidi kuwa mambo! Kifo cha aliyekuwa mwongoza filamu za Bongo, George Otieno ‘Tyson’ kimezidi kuzua mapya, safari hii ikidaiwa ndugu mmoja (jina tunalo) ameingia mitini na pesa za rambirambi zilizochangwa jijini Dar es Salaam wakati wa msiba huo. Raisi wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo katika msiba wa marehemu George Tyson wakati wa kumuaga katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Kocha Etoile aingia mitini
NA ONESMO KAPINGA
KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.
Kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrfy16inh5JleImo*Pr9CYM-vNDf7ssyPqQnnL7DlfV03hG*MJnvD1xb7qd4omhn91O*L*DIofVtYgknw9UeWuP/ndoa.jpg)
BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA
9 years ago
Habarileo29 Aug
Mashali aingia mitini kupima uzito Dar
BONDIA Thomas Mashali jana alishindwa kutokea kwenye upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wake wa leo dhidi ya Ibrahim Tamba utakaofanyika kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Pambano lao litatanguliwa na mapambano ya awali 10.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-r2zeSO-Tf9Q/U4zPDPXg7sI/AAAAAAAFnTg/9-1OF86EeEg/s72-c/tyson.jpg)
UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON
![](http://1.bp.blogspot.com/-r2zeSO-Tf9Q/U4zPDPXg7sI/AAAAAAAFnTg/9-1OF86EeEg/s1600/tyson.jpg)
Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbadZxRjZWKDBHh1yAkT0MTBpBfh1PcGnL5ESH7gT9HnSWdv64VTxdjCuh6WqbnFEvQDNv3betR2sGNa2KFqk1VRZ/TYSON.jpg?width=650)
MSIBA WA TYSON MAJENEZA MAWILI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cqG7veGtsMYYkboQmVSFW2-asYs6I*v7py3biDPzTuGjWWJNhCQBFe3DYSzccU8OdgpUltvvmIqpBZ1tiN0HLbG/tyson.jpg?width=650)
KIFO CHA TYSON, KENYA NI ZAIDI YA MSIBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/SmeHN3HZ9oZgADPEItNrxzO0mOSiox8aydL3iGTGZpQDcr*fs3J4XC5d4iOSFeiZ9O0RbmahUOlllXw6UyNwpyNThjPrgWYY/TFF.jpg)
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI MSEBULA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i10o1WN0Ozw/VA2xgmdsDlI/AAAAAAAGh5A/VRIRscFRhcs/s72-c/Nembo-ya-TFF.jpg)
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI LUGENGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-i10o1WN0Ozw/VA2xgmdsDlI/AAAAAAAGh5A/VRIRscFRhcs/s1600/Nembo-ya-TFF.jpg)
Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher Alexander Lunyungu katika gari dogo wakienda mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu...