Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA WA TYSON MAJENEZA MAWILI

Stori: Hamida Hassan na Shani Ramadhani HUKU akiacha wake watatu, Yvonne-Sheryl  Ngatikwa ‘Monalisa’, Beatrice na Lucy, msiba wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ (41) umezua maajabu kwa kuwa na majeneza mawili, Uwazi linakumegea moja moja. Kwenye gari ni moja ya jeneza lilikusudiwa awali kutumika kwa ajili ya kuuhifadhi mwili wa marehemu George Otieno,' Tyson'. Kwa mujibu wa chanzo, uwepo wa majeneza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON

Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) kesho Jumanne Juni 3 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
  Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...

 

11 years ago

GPL

NDUGU AINGIA MITINI NA RAMBIRAMBI MSIBA WA TYSON

MAMBO yamezidi kuwa mambo! Kifo cha aliyekuwa mwongoza filamu za Bongo, George Otieno ‘Tyson’ kimezidi kuzua mapya, safari hii ikidaiwa ndugu mmoja (jina tunalo) ameingia mitini na pesa za rambirambi zilizochangwa jijini Dar es Salaam wakati wa msiba huo. Raisi wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo katika msiba wa marehemu George Tyson wakati wa kumuaga katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
Kwa...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA TYSON, KENYA NI ZAIDI YA MSIBA

WAKATI jana jiji la Dar likizizima kwa vilio, majonzi na simanzi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ nchini kwao Kenya ni zaidi ya msiba. Majonzi na simanzi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ katika Viwanja vya Leaders. Tyson aliagwa na mastaa, mashabiki na wadau wa burudani...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR

Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.
Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani. (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +0753 715 779 : Hamida…

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Mwaka Moja, Leo Monalisa Atoboa Mazito Kuhusu Kilichotokea Kwenye Msiba wa George Tyson

Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka aliekuwa muongozaji wa filamu na vipindi vya TV hapa Bongo, George Tyson kufariki dunia, mwigizaji  Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ambaye alizaa na marehemu  afunguaka mazito kupitia ukurasa wake mtandaoni.

Mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu monalisa akiwa na marehemu Tyson na mtoto wao, monalisa aliandika;

Wiki 78 zilizopita @jojityson alipost hii pic na kuandika
My family @monalisatz @soniamonalisa

Leo ni mwaka mmoja toka uondoke George..bado ni ngumu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu

tyson_george

Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.

Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.

Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.

MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS WATOA RAMBI RAMBI MSIBA WA TYSON

Meneja wa kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho akisaini kitabu cha rambirambi. Mwandishi wa Global Publishers, Shakoor Jongo akisaini naye kitabu hicho cha kumbukumbu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani