Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI LUGENGE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni  David Lugenge kilichotokea jana (Septemba 7 mwaka huu) kwa ajali ya gari katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.
Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher Alexander Lunyungu katika gari dogo wakienda mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI MSEBULA

Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi Methusela Msebula kilichotokea juzi (Januari 13 mwaka huu) katika Wilaya ya Bukombe mkoani Geita. Mwamuzi Msebula ambaye alikuwa mwamuzi daraja la kwanza (class one) alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, maradhi ambayo yalimsababisha kuwa nje ya uchezeshaji mechi za mpira wa miguu kwa karibu misimu miwili. Msiba huu ni mkubwa kwa jamii ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TFF yamlilia Mwamuzi Luteni David Lugenge

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni David Lugenge kilichotokea juzi kwa ajali ya gari katika Wilaya ya Handeni...

 

11 years ago

Michuzi

RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wake (wakati huo ikiitwa FAT), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe kilichotokea leo asubuhi (Juni 7 mwaka huu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sophia, baba yake alianguka bafuni nyumbani kwake Mbezi Beach ambapo alikimbizwa katika Hospitali ya Lugalo ambapo ndipo umauti ulipomfika wakati madaktari wakimpatia matibabu.

Kanali...

 

11 years ago

GPL

RAMBIRAMBI MSIBA WA JAMES KISAKA

Marehemu James Kisaka enzi za uhai wake. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57) kilichotokea leo asubuhi (Desemba 25 mwaka huu) katika Hospitali ya Burhani, Dar es Salaam. Msiba huo ni mkubwa katika familia ya mpira wa miguu kwani Kisaka kabla ya kuwa kocha alikuwa mchezaji katika nafasi ya kipa. Mbali ya Simba, timu nyingine alizowahi...

 

11 years ago

GPL

RAMBIRAMBI MSIBA WA DK HEMED MZIRAY

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha daktari wa tiba ya michezo, Dk. Hemed Mziray kilichotokea juzi jijini Dar es Salaam. Dk. Mziray ambaye alikuwa mfanyakazi wa Hospitali ya Manispaa ya Temeke na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Tiba ya Michezo Tanzania (TASMA) amesafirishwa kwenda kwao mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi. Msiba huo ni mkubwa katika fani ya mpira wa miguu...

 

11 years ago

GPL

RAMBIRAMBI MSIBA WA MCHEZAJI BONIFACE NJOHOLE

Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Reli Morogoro, Boniface Njohole kilichotokea jana (Januari 12 mwaka huu) mkoani Morogoro. Njohole ambaye alikuwa mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro (MRFA) hadi umauti unamkuta anatarajia kuzikwa kesho (Januari 14 mwaka huu) kijijini kwao Mngeta wilayani Ifakara. Msiba huu ni...

 

11 years ago

GPL

RAMBIRAMBI MSIBA WA MTANGAZAJI SULTAN SIKILO

Marehemu Sultan Sikilo (wa kwanza kulia) enzi za uhai wake akiwa na wanahabari Elius Kambili (katikati) na Isack Gamba (wa kwanza kushoto). (Picha na Maktaba Yetu) Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mtangazaji wa michezo wa Radio Abood, Sultan Sikilo kilichotokea jana alfajiri (Januari 11 mwaka huu) jijini Dar es Salaam. Sikilo ambaye pia aliwahi kufanyia kazi Radio Times na Radio...

 

11 years ago

Michuzi

TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA GEORGE MPONDELA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, George Mpondela kilichotokea jana (Juni 15 mwaka huu) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa klabu ya Yanga, Marehemu Mpondela anatarajiwa kuzikwa Alhamisi (Juni 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam, na msiba upo Kigamboni Mnarani.
Mpondela alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga katika uchaguzi uliofanyika mwaka 1994 baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani