RAMBIRAMBI MSIBA WA JAMES KISAKA

Marehemu James Kisaka enzi za uhai wake. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57) kilichotokea leo asubuhi (Desemba 25 mwaka huu) katika Hospitali ya Burhani, Dar es Salaam. Msiba huo ni mkubwa katika familia ya mpira wa miguu kwani Kisaka kabla ya kuwa kocha alikuwa mchezaji katika nafasi ya kipa. Mbali ya Simba, timu nyingine alizowahi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Dec
James Kisaka afariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
TFF yamlilia James Kisaka
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeelezea kupokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57), kilichotokea jana asubuhi katika Hospitali ya Burhani jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi
RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE


Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sophia, baba yake alianguka bafuni nyumbani kwake Mbezi Beach ambapo alikimbizwa katika Hospitali ya Lugalo ambapo ndipo umauti ulipomfika wakati madaktari wakimpatia matibabu.
Kanali...
11 years ago
GPL
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI MSEBULA
11 years ago
Michuzi
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI LUGENGE

Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher Alexander Lunyungu katika gari dogo wakienda mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu...
11 years ago
GPLRAMBIRAMBI MSIBA WA DK HEMED MZIRAY
11 years ago
GPL
RAMBIRAMBI MSIBA WA MCHEZAJI BONIFACE NJOHOLE