Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA ISABELA KARAMA YABUMA

Story:Mayasa Mariwata
MSANII wa muziki Bongo, Isabela Mpanda amesema kuwa anasikitika kuona mwaka umeisha mipango yake ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi Luten Karama imegonga mwamba na kutamani kuolewa ndoa ya kimyakimya. Msnii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda akiwa na mpenzi wake Luteni Kalama. Akizungumza kwa masikitiko mwanadada huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Ruvuma alisema, maisha ya uchumba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISABELA, KARAMA WAMWAGANA

Na Gladness Mallya/Amani WALE wasanii waliodumu kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu, Isabela Mpanda na Luteni Karama hatimaye wamemwagana rasmi kutokana na kile kilichodaiwa ni kushindwana tabia. Isabela Mpanda akiwa na Luteni Karama. Akipiga stori na paparazi wetu, Isabela alisema ameamua kummwaga Karama kwa sababu ameshamfumania kwa njia ya meseji za wanawake zaidi ya mara tatu kwenye simu yake ya mkononi pia amegundua...

 

10 years ago

GPL

KARAMA: ISABELA NI MSALABA WANGU

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE wa Bongo Fleva na mwanachama wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Karama ambaye ni mchumba wa aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda, amekiri kuwa bibie huyo ni msalaba wake, hivyo hata amkosee kiasi gani, hatamuacha. Aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda akipozi. “Mimi nimeshakubali kuwa Bela ni msalaba wangu na ndiyo maana hata kama ananikosea vipi au mimi namkosea,...

 

10 years ago

GPL

ISABELA: KARAMA ALINIPA MIMBA 4 ZIKAHARIBIKA

Laurent Samatta/Uwazi
BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba zaidi ya nne za Karama na zote zikaharibika. Msanii wa filamu Bongo,Isabela Mpanda ‘Bela’. Akifunguka mbele ya paparazi wetu, Bela alisema alikuwa akishika mimba hizo lakini zote zilikuwa zikiharibika baada ya...

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

10 years ago

GPL

NDOA YA LULU YABUMA!

Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori: Musa Mateja
BAADA ya kuwa na malengo ya kuolewa mwaka 2014, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kusema imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi...

 

10 years ago

GPL

BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA

Stori:  Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la  Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la  Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni...

 

10 years ago

GPL

ISABELA: WANAWAKE TUSHINIKIZE NDOA TUOLEWE

Na Mayasa Mariwata MSANII Isabela Mpanda ambaye yupo kwenye mikakati mizito ya kuolewa na msanii mwenzie Luten Karama, amewataka wasanii wa kike kuwa makini pindi wanapoahidiwa kuolewa kwa kushikilia bango mpaka kieleweke kwa kuwa ndoa si lelemama. Msanii wa kikundi cha Scorpion Girls, Isabela Mpanda. Akibonga machache na paparazi wetu alisema, kinachowaponza wasanii wengi wa kike kuishia kuzaa bila kuolewa ni wengi kutotilia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Karama Nyilawila kumvaa Mmalawi.

Bondia wa Tanzania Karama Nyilawila mwakani ,anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia mmalawi Frank Mwamaso

 

11 years ago

GPL

KARAMA NYILAWILA KUTWANGANA NA SAID MBELWA MEI 24, 2014

Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO utakaofanyika Mei  24 mwaka huu katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST, Anthony Rutta. (Picha na Super D)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani