Karama Nyilawila kumvaa Mmalawi.
Bondia wa Tanzania Karama Nyilawila mwakani ,anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia mmalawi Frank Mwamaso
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKARAMA NYILAWILA KUTWANGANA NA SAID MBELWA MEI 24, 2014
Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO utakaofanyika Mei 24 mwaka huu katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST, Anthony Rutta. (Picha na Super D)
11 years ago
Michuzi14 May
MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA, KUPAMBANA MEI 24, 2014
11 years ago
GPLKALAMA NYILAWILA KUMVAA IBRAHIMU MAOKOLA DESEMBA 31 MSASANI KLABU
Kalama Nyilawila akijifua tayari kwa kumkabili Ibrahimu Maokola Desemba 31 mwaka huu katika Ukumbi wa Msasani Klabu, jijini Dar. Msimamizi wa mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo Sinza-Makaburini, Dar Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekeza bondia Kalama Nyilawila jinsi…
11 years ago
Mwananchi26 May
Mbelwa amtupa Nyilawila
Bondia Said Mbelwa amesema aliamua kuanzisha vurugu na kumbeba mpinzani wake Karama Nyilawila kisha kumtupa nje ya ulingo katika pambano lao la juzi la ubingwa wa Dunia wa UBO baada ya kuona dalili za kuhujumiwa.
10 years ago
GPL
ISABELA, KARAMA WAMWAGANA
Na Gladness Mallya/Amani WALE wasanii waliodumu kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu, Isabela Mpanda na Luteni Karama hatimaye wamemwagana rasmi kutokana na kile kilichodaiwa ni kushindwana tabia. Isabela Mpanda akiwa na Luteni Karama. Akipiga stori na paparazi wetu, Isabela alisema ameamua kummwaga Karama kwa sababu ameshamfumania kwa njia ya meseji za wanawake zaidi ya mara tatu kwenye simu yake ya mkononi pia amegundua...
10 years ago
GPL
KARAMA: ISABELA NI MSALABA WANGU
Stori: Imelda Mtema
MKONGWE wa Bongo Fleva na mwanachama wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Karama ambaye ni mchumba wa aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda, amekiri kuwa bibie huyo ni msalaba wake, hivyo hata amkosee kiasi gani, hatamuacha. Aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda akipozi. “Mimi nimeshakubali kuwa Bela ni msalaba wangu na ndiyo maana hata kama ananikosea vipi au mimi namkosea,...
10 years ago
GPL
NDOA YA ISABELA KARAMA YABUMA
Story:Mayasa Mariwata
MSANII wa muziki Bongo, Isabela Mpanda amesema kuwa anasikitika kuona mwaka umeisha mipango yake ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi Luten Karama imegonga mwamba na kutamani kuolewa ndoa ya kimyakimya. Msnii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda akiwa na mpenzi wake Luteni Kalama. Akizungumza kwa masikitiko mwanadada huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Ruvuma alisema, maisha ya uchumba...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Nyilawila sasa kuzichapa na Mbelwa
BONDIA Saidi Mbelwa anatarajia kupanda ulingoni kuvaana na Karama Nyilawila katika pambano la kilo 76 kuwania ubingwa wa kimataifa unaotambuliwa na UBO. Pambano hilo limepangwa kupigwa Ukumbi wa Friends Conner...
11 years ago
GPL
Pambano la Nyilawila na Mbelwa, damu yatawala
Konde Mbelwa akiwa chini baada ya kipigo kutoka kwa Karama Nyirawila hayupo pichani . Na Richard Bukos
PAMBANO la ndondi kugombea mkanda wa ubingwa wa UBO, kati ya bondia Kalama Nyilawila na Said Mbelwa lililofanyika usiku wa kuamkia jana Jumapili kwenye Ukumbi wa Friends Corner Hotel, Manzese jijini Dar es Salaam, lilikatishwa kutokana na… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania