Pambano la Nyilawila na Mbelwa, damu yatawala
![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*o-iN*f1vZmSo8IhAOA5NH7mHVe9-kkTWIXVhGEaq8P0Z6S5fo*JmgLxqTYcThpQFB4bIAOsFe8y80knSDIrH1x/pambanooo.jpg?width=650)
Konde Mbelwa akiwa chini baada ya kipigo kutoka kwa Karama Nyirawila hayupo pichani . Na Richard Bukos PAMBANO la ndondi kugombea mkanda wa ubingwa wa UBO, kati ya bondia Kalama Nyilawila na Said Mbelwa lililofanyika usiku wa kuamkia jana Jumapili kwenye Ukumbi wa Friends Corner Hotel, Manzese jijini Dar es Salaam, lilikatishwa kutokana na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 May
Mbelwa amtupa Nyilawila
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Nyilawila sasa kuzichapa na Mbelwa
BONDIA Saidi Mbelwa anatarajia kupanda ulingoni kuvaana na Karama Nyilawila katika pambano la kilo 76 kuwania ubingwa wa kimataifa unaotambuliwa na UBO. Pambano hilo limepangwa kupigwa Ukumbi wa Friends Conner...
11 years ago
GPLKARAMA NYILAWILA KUTWANGANA NA SAID MBELWA MEI 24, 2014
11 years ago
Michuzi14 May
MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA, KUPAMBANA MEI 24, 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*ovoxonpLcQcaTMVnQKY7RVh5QmqXqTSY8hmQj1oWTfXi2T4rVZHBtpVytiUVPFwGZFmWfDghInpul5XhbUjTQa/NDONDI1.jpg?width=650)
PAMBANO LA NYIRAWILA NA MBELWA LAVUNJIKA RAUNDI YA 8
9 years ago
Vijimambo13 Sep
PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.
![](https://scontent-ord1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpt1/v/t1.0-0/p280x280/12006246_1050293754989289_1837075724729834108_n.jpg?oh=695a337baac06b37f64c7c95e78eceee&oe=569FD355)
Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s72-c/yanga%252Blogo.jpg)
AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s400/yanga%252Blogo.jpg)
Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...