Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISABELA: KARAMA ALINIPA MIMBA 4 ZIKAHARIBIKA

Laurent Samatta/Uwazi
BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba zaidi ya nne za Karama na zote zikaharibika. Msanii wa filamu Bongo,Isabela Mpanda ‘Bela’. Akifunguka mbele ya paparazi wetu, Bela alisema alikuwa akishika mimba hizo lakini zote zilikuwa zikiharibika baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISABELA, KARAMA WAMWAGANA

Na Gladness Mallya/Amani WALE wasanii waliodumu kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu, Isabela Mpanda na Luteni Karama hatimaye wamemwagana rasmi kutokana na kile kilichodaiwa ni kushindwana tabia. Isabela Mpanda akiwa na Luteni Karama. Akipiga stori na paparazi wetu, Isabela alisema ameamua kummwaga Karama kwa sababu ameshamfumania kwa njia ya meseji za wanawake zaidi ya mara tatu kwenye simu yake ya mkononi pia amegundua...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA ISABELA KARAMA YABUMA

Story:Mayasa Mariwata
MSANII wa muziki Bongo, Isabela Mpanda amesema kuwa anasikitika kuona mwaka umeisha mipango yake ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi Luten Karama imegonga mwamba na kutamani kuolewa ndoa ya kimyakimya. Msnii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda akiwa na mpenzi wake Luteni Kalama. Akizungumza kwa masikitiko mwanadada huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Ruvuma alisema, maisha ya uchumba...

 

10 years ago

GPL

KARAMA: ISABELA NI MSALABA WANGU

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE wa Bongo Fleva na mwanachama wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Karama ambaye ni mchumba wa aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda, amekiri kuwa bibie huyo ni msalaba wake, hivyo hata amkosee kiasi gani, hatamuacha. Aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda akipozi. “Mimi nimeshakubali kuwa Bela ni msalaba wangu na ndiyo maana hata kama ananikosea vipi au mimi namkosea,...

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

10 years ago

Raia Mwema

Makongoro: Mkapa alinipa ubunge, nikakataa

CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kucha

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

BBCSwahili

Karama Nyilawila kumvaa Mmalawi.

Bondia wa Tanzania Karama Nyilawila mwakani ,anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia mmalawi Frank Mwamaso

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

11 years ago

GPL

KARAMA NYILAWILA KUTWANGANA NA SAID MBELWA MEI 24, 2014

Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO utakaofanyika Mei  24 mwaka huu katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST, Anthony Rutta. (Picha na Super D)

 

9 years ago

Bongo5

Video: Luten Karama Ft. Jerry Julian — The way i feel

Luteni Kalama

Hii ni video mpya ya Luten Karama amemshirikisha Jerry Julian wimbo unaitwa “The way i feel”. Video imeongozwa na Minzi Mims.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani