Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nabii Mwingira amtabiria Nyalandu ukuu

Lazaro-Nyalandu1Na Ratifa Baranyikwa, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la Efatha huku Mchungaji wa Kanisa hilo, Josephat Mwingira, akimtabiria ushindi wa safari aliyoianza.
Zaidi Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake.
Katika ibada hiyo ya mkesha wa mwaka mpya ambayo Nyalandu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUUMINI WA NABII MWINGIRA ADAIWA KUTELEKEZA MKE, KISA KAKATWA MGUU

Na Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Uwazi
Kweli Dunia imefikia ukingoni! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Josephine Singano mkazi wa Mburahati jijini Dar, amemlalamikia mumewe, Ruwaichi Wilson Manyanga maarufu kama Dk. Manyanga ambaye ni kiongozi wa huduma ya maombezi iitwayo Shalom ya Kanisa la Efatha lililopo chini ya Mchungaji Josephat Mwingira, kwa kumtelekeza. Mke wa Ruwaichi Wilson, Josephine Singano (anayelia...

 

11 years ago

GPL

MWINGIRA AGOMA KUPIMA UKIMWI

Stori: Makongoro Oging’ na Richard Bukos
MTUME na Nabii wa Kanisa la Efatha, Joseph Elias Mwingira anayekabiliwa na kesi ya kuzaa na mke wa mtu, hatimaye amefunguka mengi kuhusu madai hayo lakini amekataa kabisa kupima Ukimwi, Risasi Mchanganyiko lina kila kitu. Mtume na Nabii wa Kanisa la Efatha, Joseph Elias Mwingira. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi - Kisutu, Dar, umebaini kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Pluijm amtabiria makubwa Ngoma

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema mshambuliaji wake Donald Ngoma atakuwa tishio zaidi ya ilivyo sasa hapo baadaye akizoea Ligi Kuu Bara.

 

9 years ago

Mtanzania

Pellegrini amtabiria makubwa Guardiola

Pep GuardiolaMANCHESTER, ENGLAND

KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini, amedai kwamba klabu hiyo inaweza kufanya vizuri zaidi kama watafanikiwa kumchukua kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola.

Hata hivyo, kocha huyo amesema kuwa bado ana nafasi ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika mwaka 2017 japokuwa kuna uvumi wa Guardiola kutua hapo Januari mwakani.

Guardiola amekuwa akiwindwa na klabu nyingi za Ligi Kuu nchini England, lakini Man City wanaonekana kuwa katika hatua...

 

9 years ago

Habarileo

Mwaikimba amtabiria neema Kibadeni

MSHAMBULIAJI wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba, amesema mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanywa na uongozi wa timu hiyo yatabadilisha mwenendo mbaya walioanza nao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

 

11 years ago

GPL

MZUNGU AMBURUZA MWINGIRA KORTINI

NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi mjini Moshi wakidaiwa kuchukua shamba la ubia kati ya Mzungu Profesa Wade Sapp na Kampuni ya  Global 2000 (2010) International. Nabii Josephat Mwingira. Kwa mujibu wa hati za mashitaka zilizopo katika mahakama hiyo (nakala yake tunayo), kampuni hiyo ipo Dallas/Fort Worth, Marekani na ina...

 

11 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUZAA NA MWINGIRA AZUA MAPYA

Stori: Makongoro Oging na Haruni Sanchawa
KESI ya Nabii na Mtume Josephat Elias Mwingira wa Kanisa la Efhata, kudaiwa kuzaa na mke wa Dk. William Morris, Dk. Phillis Nyambi inaendelea kuunguruma katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ambapo mlalamikiwa huyo wa pili katika shauri hilo amekiri kuzaa nje ya ndoa. Dk. Philis Nyimbi anayedaiwa kuzaa na Nabii Mwingira. Mlalamikiwa huyo, Dk. Phillis Morris Nyambi katika...

 

9 years ago

GPL

KIKONGWE MIAKA 100 AMTABIRIA MAGUFULI

Kikongwe Kete Abdallah aliyemtabilia Magufuli. Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe mmoja, Kete Abdallah mwenye umri wa miaka 100, amemtabiria ushindi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli. Bibi huyo alitoa utabiri huo wiki iliyopita wakati wa sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani