Pellegrini amtabiria makubwa Guardiola
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini, amedai kwamba klabu hiyo inaweza kufanya vizuri zaidi kama watafanikiwa kumchukua kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola.
Hata hivyo, kocha huyo amesema kuwa bado ana nafasi ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika mwaka 2017 japokuwa kuna uvumi wa Guardiola kutua hapo Januari mwakani.
Guardiola amekuwa akiwindwa na klabu nyingi za Ligi Kuu nchini England, lakini Man City wanaonekana kuwa katika hatua...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Pellegrini:''Guardiola hanitishi''
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Pluijm amtabiria makubwa Ngoma
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Rooney amtabiria makubwa zaidi Ronaldo
![134881](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/134881-300x200.jpg)
MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Wayne Rooney, amekunwa na mafanikio aliyonayo Cristiano Ronaldo na akasema kuwa anavyoamini kuna mambo mazuri atayafanya staa huyo wa timu ya Real Madrid.
Hivi karibuni Ronaldo alifikia rekodi ya Raul ya kuwa mfungaji bora wa muda wote katika timu hiyo ya Real Madrid, ikiwa ni baada ya kuwa mchezaji tegemeo muda wote katika timu ya Taifa ya Ureno.
Rooney aliwahi kucheza na Ronaldo akiwa Man United kati ya mwaka 2003 na 2009 na...
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Del Piero amtabiria Rooney makubwa
9 years ago
Habarileo23 Oct
Mwaikimba amtabiria neema Kibadeni
MSHAMBULIAJI wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba, amesema mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanywa na uongozi wa timu hiyo yatabadilisha mwenendo mbaya walioanza nao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
9 years ago
GPLKIKONGWE MIAKA 100 AMTABIRIA MAGUFULI
10 years ago
Mtanzania02 Jan
Nabii Mwingira amtabiria Nyalandu ukuu
Na Ratifa Baranyikwa, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la Efatha huku Mchungaji wa Kanisa hilo, Josephat Mwingira, akimtabiria ushindi wa safari aliyoianza.
Zaidi Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake.
Katika ibada hiyo ya mkesha wa mwaka mpya ambayo Nyalandu...
10 years ago
Bongo529 Nov
AY amtabiria Diamond kuchukua tuzo mbili za #CHOAMVA14
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa
ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...