Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKONGWE MIAKA 100 AMTABIRIA MAGUFULI

Kikongwe Kete Abdallah aliyemtabilia Magufuli. Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe mmoja, Kete Abdallah mwenye umri wa miaka 100, amemtabiria ushindi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli. Bibi huyo alitoa utabiri huo wiki iliyopita wakati wa sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

...KIKONGWE MIAKA 100 ADAI KUPOKONYWA SHAMBA!

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
UONEVU! Bibi kizee, Mwamini Abdallah anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 100 (alikuwepo wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia ya 1914), anadai kunyang’anywa shamba na ndugu zake kisha kutelekezwa na kumsababishia kuishi kwa tabu. Bibi kizee, Mwamini Abdallah. Akizungumza na waandishi wetu, bibi huyo anayeishi katika Kijiji cha Ngeleka-Usagara mkoani hapa alidai kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA

Bi Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake. ---------------------Na Oswald Ngonyani wa demashonews - Peramiho.Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii inazidi kujawa na chuki na ukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi kusikia fulani kamuua fulani kwa kisa kisichokuwa na maana.
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AJIBU BARUA YA KIKONGWE, AAMURU APEWE EKARI, BIBI AMSHUKURU (+VIDE)


Kikongwe wa Miaka 89 amekabidhiwa shamba la ekari moja na kiwanja cha makazi Kwa maelekezo ya Rais Magufuli baada ya kumuandikia barua na kumlalamikia eneo lake kutwaliwa na kujengwa mnada mwaka 1999.Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya wamefika Kijiji cha Kimashuku na kumkabidhi Bi Hawa Juma Shila eneo hilo huku Dc akimtaka Afisa Ardhi kuanza haraka utaratibu wa kumkabidhi hati ya eneo hilo aliloonyeshwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli

Sherehe zimefanyika eneo la Gallipoli nchini Uturuki kuadhimisha miaka mia moja tangu uvamizi wa kijeshi uliofanywa eno hilo

 

11 years ago

Mwananchi

Nyambui: Niliomba nifungwe miaka 100 jela

Kocha wa timu ya taifa ya riadha na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui amesema aliomba afungwe miakba 100 jela kama ikibainika anajihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya

Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mama mwenye umri wa miaka 100 kifungo kwa kukaidi amri ya mahakama

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Wababa ft. Nay wa Mitego — Miaka 100

Msanii Wababa ambaye aliwahi kushiriki BSS nahivi karibuni kulala mika kuwa aliibiwa kazi zake na Nay wa Mitego na Diamond ameamua kuachia ngoma Mpya aliyo mshirikisha Nay wa Mitego ngoma imefanyika katika Studio za Mazuu Records ngoma inaitwa “Miaka 100″

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umeshafikiria kufundishwa na mwalimu mwenye umri wa miaka 100?

KUNA usemi kuwa kujifunza hakuna mwisho, lakini mama huyu Agnes Zhelesnik (101) amebadili maana imekuwa kinyume chake kufundisha hakuna mwisho.

Kwa sasa anatajwa ni mwalimu mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani baada ya Januari mwaka huu kutimiza miaka 101 tangu kuzaliwa lakini bado hajaacha kufundisha uchumi wa nyumbani.

Mwalimu huyo mkongwe anayefundisha watoto wenye umri chini ya miaka 10 katika Shule ya Sundance North Plaintfield, New Jersey Marekani alizaliwa Januari 12, 1914...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani