Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


...KIKONGWE MIAKA 100 ADAI KUPOKONYWA SHAMBA!

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
UONEVU! Bibi kizee, Mwamini Abdallah anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 100 (alikuwepo wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia ya 1914), anadai kunyang’anywa shamba na ndugu zake kisha kutelekezwa na kumsababishia kuishi kwa tabu. Bibi kizee, Mwamini Abdallah. Akizungumza na waandishi wetu, bibi huyo anayeishi katika Kijiji cha Ngeleka-Usagara mkoani hapa alidai kwamba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KIKONGWE MIAKA 100 AMTABIRIA MAGUFULI

Kikongwe Kete Abdallah aliyemtabilia Magufuli. Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe mmoja, Kete Abdallah mwenye umri wa miaka 100, amemtabiria ushindi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli. Bibi huyo alitoa utabiri huo wiki iliyopita wakati wa sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa...

 

10 years ago

Michuzi

KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA

Bi Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake. ---------------------Na Oswald Ngonyani wa demashonews - Peramiho.Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii inazidi kujawa na chuki na ukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi kusikia fulani kamuua fulani kwa kisa kisichokuwa na maana.
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...

 

9 years ago

Michuzi

Lukuvi awarejeshea wananchi Shamba lililokuwa na mgogoro wa zaidi ya miaka kumi

 Shamba la kapunga lililokuwa na Mgogoro wa zaidi ya Miaka kumi ambalo kwa sasa limerudishwa kwa wananchi kutoka kwa Muwekezaji. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwarudishia wananchi shamba la Hekta 1,870 kutoka kwa Muwekezaji wa kampuni ya Export Trading Company kijiji cha Kapunga Wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro na Katikati ni Muwekezaji Mahesh Patel.Wananchi wa Kapunga wakiwa katika mkutano ulioitishwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge adai kwa miaka 15 hajawahi kusinzia bungeni

DSC06174

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Diana Chilolo (wa kwanza kushoto) akipokelewa na kikundi cha uhamasishaji cha Nyota cha Mandewa manispaa ya Singida. Chilolo alifanya ziara ya kikazi katika manispaa ya Singida hivi karibuni na kuwataka wanawake kuondoa woga na kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao.

DSC06218

Mbunge wa viti maalum mkoa na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida,  Diana Chilolo,akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT Singida vijijini ambapo aliwataka...

 

9 years ago

StarTV

Mlinzi wa kiwanja kwa zaidi ya miaka 20 adai haki zake

Serikali na taasisi za haki za binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassan Kilopola kupata haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 ya ulinzi wa Kiwanja nambari 24, Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Mlinzi huyo anadai malimbikizo ya mshahara huo tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa kiwanja hicho Abbullih Majid anayedaiwa kufariki dunia.

Kiwanja hicho kwa sasa kinadaiwa kuuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Suleiman...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli

Sherehe zimefanyika eneo la Gallipoli nchini Uturuki kuadhimisha miaka mia moja tangu uvamizi wa kijeshi uliofanywa eno hilo

 

11 years ago

BBCSwahili

Tineja Mnigeria kupokonywa dhahabu

Chika Amalaha, mshindi wa dhahabu ya unyanyuaji uzani Glasgow atapokonywa dhahabu yake leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani