Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli

Sherehe zimefanyika eneo la Gallipoli nchini Uturuki kuadhimisha miaka mia moja tangu uvamizi wa kijeshi uliofanywa eno hilo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANYIKA PARIS UFARANSA

Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika. Balozi wa Tanzania Nchini Ufaranza,Mh. Begum Karim Taj akipokea keki maalum kwa ajili ya sherehe hizo za Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi,Mjini Paris Ufaransa. Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwa na watoto mjini Paris. Mh. Balozi Begum Taj akiwa na baadhi...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh Balozi Shimbo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Beijing (TZ-SUB).(Picha na Salum Ramadhan)Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Beijing (TZ-SUB), Ireneus Kagashe (kulia) akitoa utangulizi katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

Sherehe za Ubatizo wa Dickson Jr zafanyika Houston

Kijana Jr. akiwa na Godmother wake Anna Jr. akiwa na wazazi wakeMaakuliDickson Jr. mwenyeweJr akiwa na Mama yake Gloriakwa picha zaidi bofya soma zaidiJr akiwa na Mama na Sister BerthaBeautiful PeopleUncle DrewMama Jr. na NduguzeWageni wakipata maakuliPastor akiwa na familia ya JrAunty Husna akimsaidia Jr kukata cakeMama na MwanaPicha zaote kwa hisani ya Mlongo Kihoma Blog

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA DUNIANI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akiwaongoza Wahe. Majaji wa Mahakama ya Tanzania katika Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Sheria nchini leo asubuhi katika viwanja vipya vya Mahakama vilivyopo Mtaa wa Chimala karibu na Southern Sun Hotel.

   Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika Sherehe za Siku ya Sheria nchini.

      Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Augustine Ramadhan  akiwa pamoja na Viongozi wengine wastaafu wa Mahakama katika sherehe hizo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwaka wa 100 ilivyogeuka tukio la kitaifa.

Zaidi ya kadi 125,000 kutoka kote duniani zimekua zikitumwa kumtakia kapteni Tom Moore furaha katika kumbukumbu yake ya miaka 100 ya kuzaliwa.

 

9 years ago

GPL

KIKONGWE MIAKA 100 AMTABIRIA MAGUFULI

Kikongwe Kete Abdallah aliyemtabilia Magufuli. Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe mmoja, Kete Abdallah mwenye umri wa miaka 100, amemtabiria ushindi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli. Bibi huyo alitoa utabiri huo wiki iliyopita wakati wa sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA CCM MIAKA 38 NEW YORK

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani