Rooney amtabiria makubwa zaidi Ronaldo
LONDON, England
MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Wayne Rooney, amekunwa na mafanikio aliyonayo Cristiano Ronaldo na akasema kuwa anavyoamini kuna mambo mazuri atayafanya staa huyo wa timu ya Real Madrid.
Hivi karibuni Ronaldo alifikia rekodi ya Raul ya kuwa mfungaji bora wa muda wote katika timu hiyo ya Real Madrid, ikiwa ni baada ya kuwa mchezaji tegemeo muda wote katika timu ya Taifa ya Ureno.
Rooney aliwahi kucheza na Ronaldo akiwa Man United kati ya mwaka 2003 na 2009 na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Del Piero amtabiria Rooney makubwa
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Pellegrini amtabiria makubwa Guardiola
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini, amedai kwamba klabu hiyo inaweza kufanya vizuri zaidi kama watafanikiwa kumchukua kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola.
Hata hivyo, kocha huyo amesema kuwa bado ana nafasi ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika mwaka 2017 japokuwa kuna uvumi wa Guardiola kutua hapo Januari mwakani.
Guardiola amekuwa akiwindwa na klabu nyingi za Ligi Kuu nchini England, lakini Man City wanaonekana kuwa katika hatua...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Pluijm amtabiria makubwa Ngoma
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Brazil 2014: Rooney amsemea 'mbovu' Ronaldo, adai anajivuna
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …
December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Rooney kufanyiwa uchunguzi zaidi
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-gz92q-cRlno/U6rxDNIWA6I/AAAAAAAABQs/TWpHLfyYGNQ/s72-c/tibaijuka+4.jpg)
NHC yaahidi kufanya makubwa zaidi
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limedhamiria kuyabadilisha maeneo ya jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine nchini baada ya kuzindua ujenzi wa miji midogo.
Limesema miradi hiyo itakapokamilika itabadilisha mandhari ya maeneo mbalimbali nchini na kuyafanya kuwa ya kisasa.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye jukwaa la uwekezaji lililoshirikisha baadhi ya wakuu wa mikoa na wadau mbaliambali.
Mchechu alisema wataanza na ujenzi...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo …
Najua mwaka 2015 umekuwa wa headlines nyingi kwa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amerudi tena katika headlines na stori hii, Ronaldo ambaye kwa mwaka 2015 pekee amefanikiwa kuzindua perfume, movie ya maisha yake halisi na viatu, December 17 ameweka wazi project yake mpya. […]
The post Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo … appeared first on...