Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rooney kufanyiwa uchunguzi zaidi

Nahodha wa Manchester united Wayne Rooney, atafanyiwa uchunguzi zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo la goti lake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwili wa Al Douri kufanyiwa uchunguzi

Uchunguzi wa chembechembe za DNA unatarajiwa kufanyiwa kile maafisa nchini Iraq wanasema kuwa ni mwili wa Izzat Ibrahim al Douri

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa kiakili

Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa mwezi mmoja

 

11 years ago

GPL

OSCAR PISTORIUS KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIAKILI KWA MWEZI MMOJA

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius. JAJI katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius wa Afrika Kusini anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanze kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa muda wa mwezi mmoja kubaini hali yake kiakili alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji Thokozile Masipa aliamuamuru Pistorius kua awe anakwenda katika hospitali ya maradhi ya kiakili ya Weskoppies mjini Pretoria...

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama Kituo cha Mabasi cha Kange kufanyiwa uchunguzi

>Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah amesema uchunguzi wa gharama zilizotumika kujenga kituo kipya cha mabasi cha Kange jijini Tanga, utakamilika kwa siku 14 kuanzia sasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Rooney amtabiria makubwa zaidi Ronaldo

134881LONDON, England

MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Wayne Rooney, amekunwa na mafanikio aliyonayo Cristiano Ronaldo na akasema kuwa anavyoamini kuna mambo mazuri atayafanya staa huyo wa timu ya Real Madrid.

Hivi karibuni Ronaldo alifikia rekodi ya  Raul ya kuwa mfungaji bora wa muda wote  katika timu hiyo ya Real Madrid, ikiwa ni baada ya kuwa mchezaji tegemeo muda wote katika timu ya Taifa ya Ureno.

Rooney aliwahi kucheza  na Ronaldo akiwa Man United  kati ya mwaka  2003 na  2009 na...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza

Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.

Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.

mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Warner afanyiwa uchunguzi zaidi

Uchunguzi unaendelea kuhusu masuala ya kifedha ya aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho la kandanda dunia FIFA Jack Warner.

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya 250 wajitokeza uchunguzi presha ya macho Mloganzila

Daktari Bingwa wa Macho wa MNH-Mloganzila, Dkt. Catherine Makunja akimfanyia uchunguzi wa awali, Bi. Ashura Abdallah aliyefika hospitalini hapa kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa awali wa macho.
Mtaalam wa kupima macho wa MNH-Mloganzila, Dkt. Martin Francis akimpima uwezo wa macho kuona, Bi. Nasra Yusuph.

Mtaalam wa kupima macho MNH-Mloganzila, Dkt. Nestory Massawe akimpima uwezo wa macho kuona mbali na karibu, Bi. Sophia Shomari.

Baadhi ya wananchi waliofika kufanyiwa uchunguzi wa macho.
 Na...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS

 Mtaalam wa Maswala ya Uchunguzi wa Uhalifu (Crime and Investigation) kutona nchini Uingereza,Steven Gaskin (kulia) akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa waandini wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbali mbali barani Afrika ya namna ya kuweza kuchunguza na kuweza kubaini mwalifu katika tukio lolote,katika mafunzo yaliyofanyika jana kwenye ufukwe wa hoteli ya Trou Aux Biches,Mauritius.Mafunzo hayo yametolewa ikiwa ni sehemu kujionea kazi mbali mbali zinachoonyeshwa kwenye DSTV na GOTV...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani