Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OSCAR PISTORIUS KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIAKILI KWA MWEZI MMOJA

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius. JAJI katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius wa Afrika Kusini anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanze kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa muda wa mwezi mmoja kubaini hali yake kiakili alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji Thokozile Masipa aliamuamuru Pistorius kua awe anakwenda katika hospitali ya maradhi ya kiakili ya Weskoppies mjini Pretoria...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa kiakili

Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa mwezi mmoja

 

11 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorius kuchunguzwa kiakili

Jaji katika kesi ya Oscar Pistorius, ameamuru mwanariadha huyo apelekwe katika kituo cha afya kufanyiwa uchunguzi wa kiakili.

 

10 years ago

GPL

OSCAR PISTORIUS KUACHIWA MWEZI AGOSTI

Oscar Pistorius akilia wakati wa hukumu yake. MWANARIADHA maarufu nchini Afrika Kusini ambaye ni mlemavu, Oscar Pistorius huenda akaachiwa huru mwezi Agosti, mwaka huu baada ya kukaa jela kwa miezi 10. Pistorius akiwa katika mashindano ya riadha. Mwanariadha huyo anatumikia kifungo cha miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumpiga risasi mpenzi wake ambaye alikuwa mwanamitindo aitwaye Reeva Steenkamp. "Oscar...

 

10 years ago

BBCSwahili

Miaka 5 jela kwa Oscar Pistorius

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp

 

10 years ago

GPL

OSCAR PISTORIUS HATIANI KWA KUUA BILA KUKUSUDIA

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius. MWANARIADHA mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya. Oscar Pistorius akisikiliza hukumu yake. Akitoa uamuzi wake, Jaji Thokozile Masipaa alisema kuwa mwanariadha huyo alimuua Reeva kwa bahati mbaya alipofyatua risasi kupitia kwa mlango wake wa choo akiwa katika hali ya mshtuko akidhani kuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius alikuwa sawa kiakili

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius hakuwa na tatizo lolote la kiakili wakati alipomuua mpenzi wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya hali ya kiakili ya Pistorius

Upande wa mashitaka katika kesi dhidi ya Oscar Pistorius umewasilisha ombi la kutaka mwanariadha huyo kufanyiwa uchunguzi wa kiakili

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius hana tatizo la kiakili

Mwanariadha Oscar Pistorius hakuwa na tatizo lolote la kiakili wakati alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rooney kufanyiwa uchunguzi zaidi

Nahodha wa Manchester united Wayne Rooney, atafanyiwa uchunguzi zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo la goti lake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani