OSCAR PISTORIUS KUACHIWA MWEZI AGOSTI
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx21gW39NPz06Xynvp-1aU*sF85byCqZw7dfk*LpYPzzbt6kC2L8J758mdTVzpn4CjOk5NIZJAudGkYZdX9nCODhH/gty_oscar_pistorius_cries_court_jc_141017_16x9_992.jpg?width=650)
Oscar Pistorius akilia wakati wa hukumu yake. MWANARIADHA maarufu nchini Afrika Kusini ambaye ni mlemavu, Oscar Pistorius huenda akaachiwa huru mwezi Agosti, mwaka huu baada ya kukaa jela kwa miezi 10. Pistorius akiwa katika mashindano ya riadha. Mwanariadha huyo anatumikia kifungo cha miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumpiga risasi mpenzi wake ambaye alikuwa mwanamitindo aitwaye Reeva Steenkamp. "Oscar...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun13iLIpXqiUXQMFGnyfBGJWxacvGtWjffboHUDHLYfaMhgV1um84YEf9BbxJpteFIh9RmJl21z5XBQQ6nzpEgoS/pistorius.jpg?width=650)
OSCAR PISTORIUS KUACHIWA IJUMAA
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Pistorius 'kuachiliwa huru mwezi Agosti'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBC-GBBMsfUT7lv*SgO0Q8oj56pSMf7YY*KcWB*BO94mOdUpir9n9l0sbRMSlr*7wVjRuQzjOdyd0dfivvQ9djGS/oscarpistoriusdock.jpg)
OSCAR PISTORIUS KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIAKILI KWA MWEZI MMOJA
5 years ago
Bongo514 Feb
Documentary ya Chris Brown ‘Welcome To My Life’ kuachiwa mwezi Juni
Baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu ujio wa documentary ya Chris Brown, imetajwa kutoka mwezi Juni mwaka huu.
Muimbaji huyo amethibitisha hilo kupitiaa mtandao wa Instagram, kwa kuweka video ya trailer ya documentary hiyo na kuandika, “In theaters June.”
Documentary hiyo itakayoitwa ‘Welcome To My Life’ itakuwa ikizungumzia maisha ya muimbaji huyo aliyowahi kupitia, ikiwemo mahusiano yake na aliyewahi kuwa mpenzi wake Rihanna, yaliyomsababishia kuchukiwa na mashabiki baada ya kumshushia...
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/154F6/production/_85068278_83487936.jpg)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78299000/jpg/_78299562_024337440.jpg)
Oscar Pistorius 'has no money'
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76267000/jpg/_76267858_76113506.jpg)
Oscar Pistorius in nightclub row
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Oscar Pistorius akana mashitaka
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74178000/jpg/_74178541_74176087.jpg)