Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OSCAR PISTORIUS KUACHIWA IJUMAA

Mwanariadha Oscar Pistorius. Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp. Oscar Pistorius akiwa mahakamani wakati wa kesi yake. Mwanariadha mahiri wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius anatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii baada ya kuonyesha tabia nzuri akiwa gerezani. Pistorius alihukumiwa kifungo cha…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OSCAR PISTORIUS KUACHIWA MWEZI AGOSTI

Oscar Pistorius akilia wakati wa hukumu yake. MWANARIADHA maarufu nchini Afrika Kusini ambaye ni mlemavu, Oscar Pistorius huenda akaachiwa huru mwezi Agosti, mwaka huu baada ya kukaa jela kwa miezi 10. Pistorius akiwa katika mashindano ya riadha. Mwanariadha huyo anatumikia kifungo cha miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumpiga risasi mpenzi wake ambaye alikuwa mwanamitindo aitwaye Reeva Steenkamp. "Oscar...

 

9 years ago

BBC

What next for Oscar Pistorius?

Why killer athlete set to remain behind bars - for now

 

10 years ago

BBC

Oscar Pistorius 'has no money'

The sentencing hearing of Oscar Pistorius hears the athlete has no money left after the seven-month trial.

 

11 years ago

BBC

How did Oscar Pistorius' defence fare?

Will the judge believe Oscar Pistorius' version of events?

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA OSCAR PISTORIUS YAANZA

Oscar Pistorius akiwasili mahakamani jijini Pretoria. KESI inayomkabili mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius (27) ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp inatolewa hukumu leo jijini Pretoria na Jaji Thokosile Masipa. Matundu manne ya risasi zilizopigwa na Pistorius, ambapo tatu kati yake zilimpiga Reeva - mkononi, kichwani na kwenye paja. Tayari hukumu hiyo imeanza kusomwa na Jaji Thokosile Masipa  ikiwa ni baada...

 

10 years ago

BBC

Verdict due for Oscar Pistorius

South African Judge Thokosile Masipa is due to give her verdict at the murder trial of Oscar Pistorius - the athlete could face 25 years in jail.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: Oscar Pistorius - in 60 seconds

BBC News looks at the key events in the Olympic athlete's life - in 60 seconds.

 

11 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorius akana mashitaka

Siku ya kwanza ya kesi ya mauaji dhidi ya Oscar Pistorius imekamilika nchini Afrika Kusini. Pistorius amaka kumuua mpenzi wake marehemu Reeva Steenkamp

 

11 years ago

BBC

Oscar Pistorius 'close to disaster'

Andrew Harding says Pistorius' testimony failed to impress

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani