Hoja ya hali ya kiakili ya Pistorius
Upande wa mashitaka katika kesi dhidi ya Oscar Pistorius umewasilisha ombi la kutaka mwanariadha huyo kufanyiwa uchunguzi wa kiakili
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 May
Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa kiakili
Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa mwezi mmoja
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Pistorius alikuwa sawa kiakili
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius hakuwa na tatizo lolote la kiakili wakati alipomuua mpenzi wake.
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Pistorius hana tatizo la kiakili
Mwanariadha Oscar Pistorius hakuwa na tatizo lolote la kiakili wakati alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
11 years ago
BBCSwahili14 May
Oscar Pistorius kuchunguzwa kiakili
Jaji katika kesi ya Oscar Pistorius, ameamuru mwanariadha huyo apelekwe katika kituo cha afya kufanyiwa uchunguzi wa kiakili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBC-GBBMsfUT7lv*SgO0Q8oj56pSMf7YY*KcWB*BO94mOdUpir9n9l0sbRMSlr*7wVjRuQzjOdyd0dfivvQ9djGS/oscarpistoriusdock.jpg)
OSCAR PISTORIUS KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIAKILI KWA MWEZI MMOJA
Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius. JAJI katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius wa Afrika Kusini anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanze kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa muda wa mwezi mmoja kubaini hali yake kiakili alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji Thokozile Masipa aliamuamuru Pistorius kua awe anakwenda katika hospitali ya maradhi ya kiakili ya Weskoppies mjini Pretoria...
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Pistorius:Ushahidi wa mtaalamu wazua hoja
Mtaalamu wa uchunguzi wa mauaji anahojiwa vikali na kiongozi wa mashitaka katika kesi ya mauaji dhidi ya mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
NATOA HOJA: Waliolaumu waende wakaone hali Jangwani
>Nawasabahi wote wanaoendelea kupambana na maisha pamoja na wote wanaojenga taifa hasa baada ya mchakamchaka wa wiki-endi.
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Mwelekeo mpya bungeni, Pinda atoa hoja kutuliza hali ya hewa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alifanikiwa kutuliza hali ya hewa bungeni baada ya kutoa mapendekezo yaliyoungwa mkono na pande zote zilizokuwa zinavutana kuhusu kupitisha baadhi ya vifungu vya Kanuni za Bunge la Katiba.
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Rubani alikuwa na matatizo ya kiakili
Viongozi wa mashtaka wa Ujerumani wanasema wamepata ushahidi unaosema kwamba rubani huyo alimficha mwajiri wake ugonjwa anaougua.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania