NHC yaahidi kufanya makubwa zaidi
![](http://2.bp.blogspot.com/-gz92q-cRlno/U6rxDNIWA6I/AAAAAAAABQs/TWpHLfyYGNQ/s72-c/tibaijuka+4.jpg)
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limedhamiria kuyabadilisha maeneo ya jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine nchini baada ya kuzindua ujenzi wa miji midogo.
Limesema miradi hiyo itakapokamilika itabadilisha mandhari ya maeneo mbalimbali nchini na kuyafanya kuwa ya kisasa.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye jukwaa la uwekezaji lililoshirikisha baadhi ya wakuu wa mikoa na wadau mbaliambali.
Mchechu alisema wataanza na ujenzi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Feb
TZ yaahidi makubwa EAC
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6YGUAetzQEc/Uwm5aGx3LoI/AAAAAAAFO2Y/PN6qKmyhizI/s72-c/unnamed+(2).jpg)
TTCL yaahidi makubwa mradi wa mawasiliano vijijini
5 years ago
Bongo514 Feb
Serikali yaahidi haya kwa Shirika la nyumba nchini (NHC)
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula amesema kuwa Shirika la Nyumba nchini(NHC) limeweka mkakati wa kuhakikisha nyumba zote zilizo katika hali ya uchakavu zinafanyiwa ukarabati mkubwa.
Naibu waziri huyo ameyasema hayo Jumatatno hii bungeni, mjini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum, Savelina Silvanus Mwijage, lililohoji
nyumba za shirika la nyumba nchini (NHC) ni za muda mrefu na zimekuwa chakavu sana na nyingine zimeanza kubomoka,” Je,...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kampuni ya Swala yaahidi makubwa, mwaka mmoja baada ya kuingia katika soko la hisa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kampuni yake kutimiza mwaka mmoja tangu iingie katika soko la hisa (IPO) ambapo Swala iliingiza jumla ya hisa za kawaida 9,600,000, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial & Investment Advisory Limited, Iyen Nsemwa.
Kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ya Swala Energy leo imetimiza mwaka mmoja tangu kuingia katika...
9 years ago
Habarileo25 Aug
CUF yaahidi kufanya kampeni za kistaarabu
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitahakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu na kuweka wazi sera zake bila ya kukaribisha malumbano ambayo yatasababisha kujenga mazingira ya chuki na uhasama.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VQsvDQJX75M/XsUaGgOLaZI/AAAAAAALq8U/e6o5Hx4fNecG6ZOAH618JiJaAhwIFIDWwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200520-WA0037.jpg)
CWT YAAHIDI KUFANYA MAPINDUZI KATIKA SOKA HAPA NCHINI-ALAWI
![](https://1.bp.blogspot.com/-VQsvDQJX75M/XsUaGgOLaZI/AAAAAAALq8U/e6o5Hx4fNecG6ZOAH618JiJaAhwIFIDWwCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200520-WA0037.jpg)
Hatua hiyo inatokana na mikakati kabambe inayotarajia kuwekwa na Walimu kupitia uongozi wa Makao Mkuu, mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho unaotarajia kufanyika Mei 28 mwaka huu.
Hayo yalielezwa na Mwalimu Abubakari Alawi akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Kibaha,ambaye ni mgombea wa nafasi ya Mhazi...
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Ufaransa yaahidi misaada zaidi kwa Tanzania
AFD ni Taasisi ya kifedha ya Ufaransa na ndiye mtekelezaji Mkuu wa misaada ya kimaendeleo ya nchi hiyo kwa nchi zinazoendelea na zile zenye ngome ya Ufaransa zilizopo katika nchi nyingine duniani kote.
Taasisi hii inatoa fedha kwa miradi ya maendeleo katika zaidi ya nchi 90 zikiwemo nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mwandishi wa makala hii alifanya mahojiano na Mkurugenzi wa taasisi ya AFD kwa nchi za Afrika Mashariki, Yves Boudot kama ifuatavyo.
Raia Tanzania: Kwa faida ya...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
NMB yaahidi semina zaidi kwa wajasiriamali
BENKI ya NMB imesema itaendelea kuendesha semina ya mikopo kwa wajasiriamali ili kuwajengea uwezo wa elimu ya kuziendeleza biashara zao. Hayo yalisemwa na mkuu wa kitengo cha mikopo kwa wajasiriamali...
9 years ago
MichuziUDA yaahidi msaada zaidi kwa jeshi la Polisi
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamKAMPUNI ya Usafiri Dar es Salaam (UDA)...