Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT YAAHIDI KUFANYA MAPINDUZI KATIKA SOKA HAPA NCHINI-ALAWI

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniCHAMA Cha Walimu Tanzania (CWT), kimeahidi kufanya mapinduzi katika soka, kwa kuwa na timu imara itayoshiriki Ligi za ndani na nje ya nchi.
Hatua hiyo inatokana na mikakati kabambe inayotarajia kuwekwa na Walimu kupitia uongozi wa Makao Mkuu, mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho unaotarajia kufanyika Mei 28 mwaka huu.
Hayo yalielezwa na Mwalimu Abubakari Alawi akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Kibaha,ambaye ni mgombea wa nafasi ya Mhazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!

IMG_6010

Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..

Ratiba-ya-mapinduzi-cup-bongosoka

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania

Dar es Salaam, TANZANIA.  Leo asubuhi, Balozi wa Tanzania nchini Tanzania Mark Childress amewaapisha wafanyakazi wa kujitolewa wa Kimarekani (Peace Corps Volunteers) wapatao 59 ili kuanza huduma yao ya miaka miwili nchini Tanzania. Hafla ya kuwaapisha wafanyakazi hao ilifanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi wa Shule ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Edicome Cornel Shirima, Mkurugenzi Mkazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Telemedicine ilivyoleta mapinduzi katika tiba nchini

>Mama yako mzazi yu mgonjwa mahututi katika hospitali ya Wilaya ya Masasi. Madaktari wamelifahamu tatizo lake lakini hakuna vifaa wala wataalamu wa jinsi ya kumtibu. Anatakiwa ahamishiwe Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako kuna madaktari bingwa na vifaatiba vya uhakika. Hata hivyo safari ya kutoka Masasi hadi Dar Es Salaam, pengine yaweza... kupoteza uhai wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PETER MWALYANZI: Rushwa ni kirusi katika soka nchini

“LICHA ya kukosa mafanikio kisoka kunakoliandama taifa letu, lakini ukweli unabaki kuwa Tanzania kuna vipaji vingi sana, ila baadhi ya viongozi wa klabu wanaviua kwa maslahi yao binafsi. “Mchezaji unaweza...

 

9 years ago

Habarileo

CUF yaahidi kufanya kampeni za kistaarabu

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitahakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu na kuweka wazi sera zake bila ya kukaribisha malumbano ambayo yatasababisha kujenga mazingira ya chuki na uhasama.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

NHC yaahidi kufanya makubwa zaidi


NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limedhamiria kuyabadilisha maeneo ya jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine nchini baada ya kuzindua ujenzi wa miji midogo.
Limesema miradi hiyo itakapokamilika itabadilisha mandhari ya maeneo mbalimbali nchini na kuyafanya kuwa ya kisasa.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye jukwaa la uwekezaji  lililoshirikisha baadhi ya wakuu wa mikoa na wadau mbaliambali.
Mchechu alisema wataanza na ujenzi...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaahidi kujenga vituo vya soka 169 nchi nzima

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lipo mbioni kujenga vituo 169 vya michezo katika wilaya 169 za Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA HUAWEI YASAIDIA KATIKA ELIMU NA TEKNOLOGIA HAPA NCHINI

Balozi wa China nchini Tanzania Dr.Lu Youqing (katikati) akipata maelekezo kuhusu bidhaa za Huawei wakati wa mkutano wa watanzania waishio uhaibuni (Tanzania Diaspora).Kushoto ni Afisa mahusianao na habari,Jimmy na kulia ni Meneja wa bidhaa na huduma wa Huawei hapa nchini, Joseph Lyimo Huawei walikua ni wazamini wakuu wa mkutano huo ulifanyika jijini Dar es salaam katika hoteli ya Serena  Augost 14 mwaka huu.
  Dr.Lu Youqing lieleza kuwa sasa hivi China na Tanzania wana ushirikiano mzuri...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Benki ya Dunia imetoa mkopo wa  Sh. Bilioni 175 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika vyuo  vinne vinavyotoa elimu ya ufundi  hapa nchini.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020  jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani