Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atuhumiwa kumuua mwanawe

BABA mzazi anatuhumiwa kumuua mwanawe katika kijiji cha Igalla wilayani Ukerewe katika ugomvi wa shamba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mkazi wa Mchinga atuhumiwa kubaka mwanawe

MKAZI wa kijiji cha Mchinga Namba Moja wilayani Lindi mkoani humo, Mohammedi Maji (71) anadaiwa kumbaka mtoto wa kambo wa miaka 7.

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutaka kumuua trafiki

MKAZI wa Kijitonyama,jijini Dar es Salaam Cresence Nguzo (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua askari wa kikosi cha usalama barabarani.

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kumuua mama yake kwa fimbo

WATU wawili kutoka vijiji tofauti wilayani Rorya wanashikiliwa na polisi mmoja akituhumiwa kumuua mama yake mzazi kwa kumpiga na fimbo na mwingine kwa kumuunguza viganja binti yake akimtuhumu kuiba fedha.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari

Mkazi wa Kijiji cha Imwelo, Kata ya Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake, Pole Faida (26) kwa kushirikiana na kaka yake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Romina Ashrafi: Baba amkatakata na kumuua mwanawe wa kike kwa kufunga ndoa kisiri Iran

Adhabu ya kina baba wanaowaua wanao Iran ni kati ya miaka 3 hadi 10

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutapeli gari

MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta atuhumiwa kupendelea

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Khamis Kigwangala, amemtuhumu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta, kuliendesha kwa upendeleo, uonevu na ushabiki. Kigwangala alisema Sitta, amekuwa na tabia ya kupendelea wachache...

 

9 years ago

GPL

AUNT ATUHUMIWA USHIRIKINA

Moses Iyobo na Aunt Ezekie. Imelda Mtema MAKUBWA! Mzazi mwenziye na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo, Mwengi amemtuhumu mwigizaji Aunt Ezekiel kuwa ni mshirikina akidai amemrogea mwanaye. Moses Iyobo na Mwengi samabamba na mtoto wao. Mwengi alisema hivi karibuni…

 

10 years ago

Habarileo

Mama, mwanawe wachinjwa

WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani