Sitta atuhumiwa kupendelea
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Khamis Kigwangala, amemtuhumu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta, kuliendesha kwa upendeleo, uonevu na ushabiki. Kigwangala alisema Sitta, amekuwa na tabia ya kupendelea wachache...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
FA:Wenger akiri kupendelea kombe la mabingwa
11 years ago
Habarileo07 Mar
Mwenyekiti Bunge Maalum adaiwa kupendelea
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Asasi zisizo za kiserikali (NGO), amemlalamikia Mwenyekiti wa muda wa bunge hilo, Pandu Ameir Kificho kuwa anawapa nafasi ya kuchangia kwenye bunge hilo watu maarufu na wanaotoka kwenye vyama vya siasa.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VjQtj38RxreyhKPCW5ikRUofdBCm8LGSkzIJ5wZkKSbJNY37IM6l7iFh35s5uq-tcdMnLy1qtPMrtP2nVcZrVDq3OQpf4hOa/Auntizzz.jpg)
AUNT ATUHUMIWA USHIRIKINA
11 years ago
Habarileo15 Jan
Atuhumiwa kumuua mwanawe
BABA mzazi anatuhumiwa kumuua mwanawe katika kijiji cha Igalla wilayani Ukerewe katika ugomvi wa shamba.
11 years ago
Habarileo09 Jul
Atuhumiwa kutapeli gari
MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Mkurugenzi atuhumiwa kukanyaga mboga
BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wamelaani kitendo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, Venance Mwamengo cha kukanyanga kwa gari bidhaa walizokuwa wakiuza nje ya Soko Kuu la Tarime.
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
DC Ilemela atuhumiwa kumlinda mwekezaji
UONGOZI wa kiwanda cha kutengeneza nondo cha Nyakato Steel Mills (NSM), na uongozi wa Serikali ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, umeingia kwenye mgogoro na wananchi wapatao 200, wanaodai kutaka...
11 years ago
Habarileo14 Aug
Atuhumiwa kulawiti mtoto wa mkewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Manyoni, Juma Saidi (32) anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto wa mkewe. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14, anasoma Kidato cha Kwanza katika shule moja ya sekondari wilayani Manyoni na inadaiwa alifanyiwa kitendo hicho juzi saa 6 usiku nyumbani kwao.