Baba Haji, Lemutuz Watifuana, Kisa Mchango wa Harusi
Staa wa Bongo Movies, Adam Haji ‘Baba Haji’ amemtolea uvivu ‘The King Of All Bongo Social Media Network’ Lemutuz kutokana na tukio la udhalilishaji alilolifanya dhidi yake!
Lemutuz ambaye amezoeleka kwa kutoa hisia na mtazamo wake juu ya mambo mbali mbali mtandaoni, mapema wiki iliyopita alimnanga Baba Haji kupitia ukurasa wke kwenye mtandao wa instagram akidai kuwa amekuwa akisumbua kuhusu michango ya harusikiasi cha kubadili staili ya kudai michango hiyo.
Kutokana na kitendo hicho Baba...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMugACel5v3v*Q0ztzcgyTfVAjoirRC9iquTk5jH3g*AFAPz7Z0cQrMvyuLB*ZOXOjyiHV68OkvVQURw5eeOwwnJ/BACKJUMAMOSI.jpg)
HARUSI YA BABA HAJI MASTAA WAFANYA KUFURU
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bzwX-NT8iFA/VZQsezxuQaI/AAAAAAAAw4U/JPjHeYeDAWs/s72-c/lemtuzzz.jpg)
LEMUTUZ Aelezea Sababu ya Kutosomeshwa na Baba yake Ambae Alishawahi Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mzee Malecela
![](http://3.bp.blogspot.com/-bzwX-NT8iFA/VZQsezxuQaI/AAAAAAAAw4U/JPjHeYeDAWs/s400/lemtuzzz.jpg)
William Malecela, maarufu kama Lemutuz Nation au "King of All Bongo Social Networks" kama anavyofahamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii ameeleza sababu za yeye kutosomeshwa na baba yake mzazi.Le Mutuz Nation ambaye ametumia muda mwingi kusoma na kuishi nchini Marekani na Belgium, ameweka bayana katika kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa alijisomesha kwa kupitia fedha ambazo zilitokana na kazi mbalimbali ambazo alikuwa akifanya kama vile udereva wa mabasi makubwa huko jijini...
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Mchango wa harusi unapodaiwa hadi kwa mgonjwa wodini!
KATIKA moja ya makala zangu za miaka kadhaa iliyopita, niliandika makala kama hii kutokana na kisa kilichomtokea mmoja wa wasomaji wa gazeti hili nayeishi jijini Arusha. Kutokana na kisa kinachoshabihiana...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi
NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/13SlHjEdb8OfAUd2DVYCfhuqkwE9u8DqV728YPP04TH5qWHBCISx8kZhyLCPUaQ5p1TGHxCk-Kfw8CXCYBc05XJCpurwwn5L/BabaHaji.jpg)
KAMPENI ZAMKOSESHA MTOTO BABA HAJI
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Baba Haji Kufunga Ndoa Leo
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.
Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.
“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzffExVNlSda4WSsS5BPndlYkmiMCF02Bb7vrh7cnIASWCwgRYR3SnxO6JFtKNlyrUDoga1foR6LlEXvFIG7IYi7/BabaHaji.jpg)
BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO