DAKTARI FEKI MWINGINE ADAKWA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO
Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.
Daktari feki akielekea kwenye gari.
Daktari feki, Karume Habibu akiingizwa kwenye gari.
Akificha uso kukwepa kamera za GPL.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wakishuhudia tukio hilo.
WIMBI la madaktari feki kuingia katika hospitali wakijifanya madaktari na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Daktari feki anaswa Hospitali ya Muhimbili
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yKSxyS5Ed2w/Xrr648Zvj7I/AAAAAAALp_M/NCH3ThnMSAAK2u779YLAzklKNV0OB7rgwCLcBGAsYHQ/s72-c/0b30eed9-53fd-4404-aee8-0d9d4d1797f3.jpg)
WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-yKSxyS5Ed2w/Xrr648Zvj7I/AAAAAAALp_M/NCH3ThnMSAAK2u779YLAzklKNV0OB7rgwCLcBGAsYHQ/s640/0b30eed9-53fd-4404-aee8-0d9d4d1797f3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-t-iSku1E-A4/Xrr64wajdSI/AAAAAAALp_Q/v9ggvbcwqQAgHJ79p3D8dTN-pzby39uZwCLcBGAsYHQ/s640/46253368-5df7-4c6f-8fc6-2db91d438d1f.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-fABH6vnVGNA/Xrr64IqKMII/AAAAAAALp_I/SVAnEdUVZ8sWTt7s0dgvTEb4TH6RMyqlgCLcBGAsYHQ/s640/c65bc8e3-1bda-4181-bacd-fb3d35945366.jpg)
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.
Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa Chama cha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQSQ96kSneX29bENAI3boohJpPTZRruY89x9fjVuhyIVUx7SQzxhBe4JJ8GJ4MGst0-MZn0hd1p8*rGrngW2nA2n/qq.jpg?width=650)
AIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daktari feki akamatwa Moro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Daktari feki anaswa MOI
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Daktari feki akamatwa Tanzania
10 years ago
Habarileo15 Aug
Daktari feki atibu watu 20
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa Katesh katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Mohammed Abdallah (35), baada ya kukutwa akitoa huduma za kidaktari ambazo hana utaalamu wake.