BREAKING: AZIM DEWJI AMWAGA TIKETI 300 ZA KUANGALIA YANGA NA SIMBA KWA WATAOJITOLEA DAMU TAASISI YA MIFUPA (MOI) HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )
Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa...
10 years ago
MichuziTAARIFA YA DHARURA KWA UMMA KUHUSU KUCHANGIA DAMU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili inawaomba Watanzania, mashirika ya umma, mashirika yasiyo ya kiserikali, mashule, taasisi za kidini, na vyuo mbalimbali kujitokeza kusaidia kuchangia damu Hospitalini hapa ili kuokoa maisha ya wagonjwa. Hospitali inahitaji chupa za damu kwa wastani wa chupa 70 hadi 100 kwa siku.
Matumizi ya Damu:Damu inatumika sana kwa wagonjwa wa dharura, akina mama wajawazito, wagonjwa waliofanyiwa upasuaji, watoto pamoja na wagonjwa wa saratani.
Upasuaji wa...
Matumizi ya Damu:Damu inatumika sana kwa wagonjwa wa dharura, akina mama wajawazito, wagonjwa waliofanyiwa upasuaji, watoto pamoja na wagonjwa wa saratani.
Upasuaji wa...
10 years ago
Dewji Blog06 May
ACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili
Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba.
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Jimbo la Ukonga wakati wa uchangiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ikiwa Chama hicho kikitimiza Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa chama hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba...
5 years ago
CCM BlogHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU
Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210.
Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...

MichuziAzim Dewji awataka wana Simba kuwa Watulivu
Na Mwandishi Wetu
MWANAMICHEZO maarufu nchini, Azim Dewji amewataka wanachama na wapenzi wa timu ya soka ya Simba kuamini timu yao bado ni bora, isipokuwa ipo katika kipindi cha mpito kuelekea katika mafanikio yatakayowashangaza wengi.
Kutokana na imani yake hiyo, ameshauri ni vyema wakatoa ushirikiano wa kila aina kwa viongozi, wachezaji na benchi lote la ufundi, vivyo hivyo akiwataka viongozi kushikamana na wachezaji na benchi la ufundi, badala ya kuanza kunyoosheana vidole.
Aliyasema hayo...

CCM Blog5 years ago
CCM BlogKAMPUNI YA JAPAN YASAIDIA TAASISI YA MIFUPA (MOI) MSAADA WA VIFAA TIBA VYA MILIONI 80.9
Kampuni ya EAA Co. Ltd ya nchini Japan bandia imetoa msaada wa viungo bandia vyenye thamani ya Shilingi milioni 80.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) leo Jijini Dar es Salaam.
Akipokea msaada huo, Mkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai amesema kuwa msaada huo utasaidia kwa kiasi kikubwa matibabu ya wagonjwa wenye ulemavu wa miguu na mikono.
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni ya EAA Co. Ltd, Josiah Benedict amesema wameguswa na changamoto zinazowakabili watanzania ndiyo maana wameamua...

MichuziKAMPUNI YA JAPAN YASAIDIA TAASISI YA MIFUPA (MOI) MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA MILIONI 80.9
Mkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai (kulia) akipokea baadhi ya vifaa kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya EAA Josiah Benedict leo katika viwanja vya (MOI) jijini Dar es SalaamMkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampuni ya EAA Josiah Benedict pamoja na baadhi ya wafanyakazi wengine waliohudhuria...
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA , UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)
Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma (wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya wabunge.Waziri wa Afya Seif Rashid (kusho) akitia Saini katika Kitabu cha wageni mara kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii ilipo tembelea ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania