Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azim Dewji awataka wana Simba kuwa Watulivu

Na Mwandishi Wetu
MWANAMICHEZO maarufu nchini, Azim Dewji amewataka wanachama na wapenzi wa timu ya soka ya Simba kuamini timu yao bado ni bora, isipokuwa ipo katika kipindi cha mpito kuelekea katika mafanikio yatakayowashangaza wengi.
Kutokana na imani yake hiyo, ameshauri ni vyema wakatoa ushirikiano wa kila aina kwa viongozi, wachezaji na benchi lote la ufundi, vivyo hivyo akiwataka viongozi kushikamana na wachezaji na benchi la ufundi, badala ya kuanza kunyoosheana vidole.
Aliyasema hayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.

Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akishuhudia.Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi,alipofika...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Iringa watakiwa kuwa watulivu na kulinda amani

Wakazi wa mkoani Iringa wametakiwa kuwa watulivu kwa kupunguza ushabiki wa kisiasa ili kuepusha vurugu zisizo na msingi na kuufanya mkoa huo kuwa sehemu salama ya kuishi.

Hatua hiyo inatokana na uwepo wa watuhumiwa 50 waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.

Ni kutokana na mvutano uliopo baina ya makundi mawili ya kisiasa juu ya ushindi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa- Bi- Amanina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana awataka Wana CCM kushiriki miradi ya maendeleo

WAFUASI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani wametakiwa kuacha tabia ya kuwa watazamaji kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Wito huo ulitolewa mjini Mlandizi, Kibaha wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA WANA CCM ZANZIBAR KUTORUDI NYUMA


Awaambia washikamane kudumisha umojaAwaambia unyonge hautakiwi kwa wana CCM Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae  (CCM)Salim Hassan Abdullah Turky wakati wa mapokezi katika wilaya ya Amani Zanzibar ikiwa sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu kukagua utekelezaji wa ilani na uhai wa Chama katika visiwa vya Unguja na Pemba.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Wana CCM wa jimbo la Mpendae kuelekea kwenye ofisi ya Jimbo ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani