Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA DHARURA KWA UMMA KUHUSU KUCHANGIA DAMU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili inawaomba Watanzania, mashirika ya umma, mashirika yasiyo ya kiserikali, mashule, taasisi za kidini, na vyuo mbalimbali kujitokeza kusaidia kuchangia damu Hospitalini hapa ili kuokoa maisha ya wagonjwa. Hospitali inahitaji chupa za damu kwa wastani wa chupa 70 hadi 100 kwa siku.
Matumizi ya Damu:Damu inatumika sana kwa wagonjwa wa dharura, akina mama wajawazito, wagonjwa waliofanyiwa upasuaji, watoto pamoja na wagonjwa wa saratani.
Upasuaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.  Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI YA MUHIMBILI NA CLOUDS MEDIA WAFANYA KAMPENI YA KUCHANGIA DAMU

Sehemu ya damu iliyokusanywa baada ya wananchi kuchangia. Msanii, Kala Jeremiah akisisitiza watu kujitokeza katika kuchangia damu.…

 

10 years ago

Dewji Blog

ACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili

9

Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya  Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba.

Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Jimbo la Ukonga wakati wa uchangiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ikiwa  Chama hicho kikitimiza  Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa chama hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

 Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba...

 

5 years ago

CCM Blog

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU

Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu   katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210.
Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...

 

11 years ago

Michuzi

KUFUATIA MUAMKO HAFIFU WA UCHANGIAJI DAMU MKOANI RUKWA KUTOKANA NA DHANA POTOFU ZILIZOPO, MADAKTARI WAONYESHA MFANO KWA KUCHANGIA DAMU KATIKA HOSPITALI KUU YA MKOA HUO

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. John Gurisha akipimwa kabla ya kuchangia damu katika zoezi lilioendeshwa na Shrika la Red Cross katika kuchangia damu Mkoani Rukwa. Kumekuwepo na uhaba mkubwa wa damu katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa na vituo vingine uhaba ambao unafikia nusu kwa nusu ukilinganisha kiasi kinachopatikana na mahitaji yaliyopo. Uhaba huo umesababishwa na muamko hafifu wa wananchi kuchangia damu kutokana na hofu inayosababishwa na dhana potofu kuwa uchangiaji damu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani