Mwanafunzi Chuo cha Utabibu ajifungua na kumtupa mtoto
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Utabibu cha Kilimanjaro Christian Medical (KCMU), amejifungua mtoto katika choo cha Hospitali ya Rufani ya KCMC na kisha kumtupa kwenye kasha la takataka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UHMFUF917xY/VQ6espqARTI/AAAAAAAHMJU/PMmdvLpuLdY/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILLIONI 10/-
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha St.Joseph cha jijini Dar es Salaam ,Ibrahim.M.Ibrahim anayesomea fani ya uhandisi wa kusindika vyakula katika kampasi ya Songea leo amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 10/-alizojishindia kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika tawi la NMB benki house Jijini Dar es Salaam. Ibrahim Ibrahim alikabidhiwa fedha zake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKECs7x0Vm-t1M3bLtF3OZBmmzI-K3Ug2ZGES5fT-lC39mNuGyIbePbADwwkrmyHl4--tqcZvtj7H2rxn7bUBExsa/001.JAYIBRA.jpg?width=650)
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILIONI 10/-
Meneja wa NMB tawi la Benki House jijini Dar es Salaam, Leon Ngowi (kushoto) akipanga kitita cha shilingi Milioni 10/- wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita hicho Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim (kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5B6utwnRDNI/VMUOJuPe-WI/AAAAAAAG_bA/3yvshNtKp7M/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5B6utwnRDNI/VMUOJuPe-WI/AAAAAAAG_bA/3yvshNtKp7M/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0LefA0-UDZg/VMUOKMkzwEI/AAAAAAAG_bE/MXi4jhiTS2I/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
11 years ago
MichuziMWANAFUNZI CHUO CHA AFYA BUGANDO AJISHINDIA GARI YA BEFORWARD KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2iJ8DcUosUrodLYCTYSXdheBWsfAkdmNZnEhYO3*qxDkYHoNAoCf9-mV9g1*kOisKSPYrXL3RIGeIIvd3W20sw/babanaMAMA.jpg?width=650)
BABA, MAMA WASWEKWA SEGEREA KWA KUMTUPA MTOTO
Na Haruni Sanchawa
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine wanawapata na kuwatupa. Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kisa hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo mtoto huyo wa mwaka mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wazazi wake wamekutana na mkono wa sheria na kutupwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s72-c/page3.jpg)
MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO
![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s1600/page3.jpg)
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55KhZ3SdjEZ84OkpwOOglNq-P*mscWlGBbqYmU*VeTd*aQhA702gvq*JirrKhquPEkOAmdTZ2W9CbEjMsjej-jEY/mamtei.jpg?width=650)
MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI
Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela
MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGj8nXBcp01MK0lcDnnVhbAzjyPGtYi3wfkPMfWBGqGH6msBM0914eUaJ3UJqdEb6tDQjeQGSY02mVg9CwHHWJ94/MamaM.jpg)
MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU
Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...
10 years ago
Vijimambo06 Aug
Zari ajifungua mtoto wa kike
![MTOTO WA ZARI](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/MTOTO-WA-ZARI.jpg)
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.
Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania