Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA, MAMA WASWEKWA SEGEREA KWA KUMTUPA MTOTO

Na Haruni Sanchawa
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine wanawapata na kuwatupa. Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kisa hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo mtoto huyo wa mwaka mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wazazi wake wamekutana na mkono wa sheria na kutupwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Video: Mama amtuma mtoto kwa baba yake kwa kumfunga kama kifurushi (parcel)

Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume ana umri wa wiki tatu. Wafanyakazi wa kampuni ya G4S ambapo anayedaiwa kuwa baba wa mtoto huyo nafanya kazi, wamesema walikuta […]

 

11 years ago

GPL

BABA KANUMBA: NITAMPELEKA MAMA KANUMBA SEGEREA

Stori: Mayasa Mariwata BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anaonekana kuendelea kuwewesekea mali za mwanaye baada ya kuibuka na kudai kuwa, atampeleka Segerea (jela) mzazi mwenzake, Flora Mtegoa kwa madai kuwa amezifuja mali za marehemu. Mama Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kwa njia ya simu, baba Kanumba alisema, ameona taarifa kwenye gazeti kuwa mali nyingi za marehemu Kanumba zimeuzwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba, mama, mtoto wafa ajalini

Familia inayowajumuisha baba, mama na mtoto ni miongoni mwa abiria 25 walipoteza maisha katika ajali za barabarani zilizotokea katika mikoa ya Singida, Lindi na Kilimanjaro.

 

10 years ago

GPL

MAMA, BABA WADAIWA KUMSULUBU MTOTO!

Stori:  Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MATUKIO ya vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa watoto yamekuwa yakiendelea kufanyika kila siku licha ya kukemewa mara kwa mara, safari hii, baba na mama wakidaiwa kumsulubu mtoto wao.
Katika hali ya kuonesha kwamba vitendo hivyo  bado vinaendelea kwa kasi, familia moja iliyopo Kunduchi jijini Dar imeshikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ukatili dhidi...

 

11 years ago

Habarileo

Baba, mama wasababisha kifo cha mtoto

POLISI mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi Chuo cha Utabibu ajifungua na kumtupa mtoto

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Utabibu cha Kilimanjaro Christian Medical (KCMU), amejifungua mtoto katika choo cha Hospitali ya Rufani ya KCMC na kisha kumtupa kwenye kasha la takataka.

 

10 years ago

GPL

MAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA

Stori: Mayasa mariwata na Haruni Sanchawa
KATIKA hali ambayo siyo ya kawaida iliyowashangaza wakazi wa eneo la Ukonga Mazizini kwa Makobe, baba  mmoja aliyefahamika kwa jina la Elisha Zakari amedaiwa kumpiga mwanaye wa kumzaa kipigo kama cha ng’ombe machungani na kusababisha azimie na kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Amani Elisha (10) aliyepigwa vibaya na baba yake mzazi hadi kuzimia kwa siku mbili. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani