Baba, mama wasababisha kifo cha mtoto
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMTOTO JAJI MSTAAFU AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE
Mtoto wa kiume wa Jaji Mstaafu wa Tanzania Augustino Ramadhani, Yakud Ramadhani ameeleza kifo cha Baba yake huyo na kusema kuwa alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, ambapo pia hata kabla ya mauti kumfika aliwahi kwenda kutibiwa nchini Kenya.
"Ni kweli amefariki leo mida ya saa 2 asubuhi, alikuwa Aga khan na baadaye akaenda Kenya kwa matibabu zaidi na baadaye akarudi nyumbani lakini akawa bado anaumwa, sasa hivi wana familia wanafanya taratibu kwa chochote kitakachotokea...
"Ni kweli amefariki leo mida ya saa 2 asubuhi, alikuwa Aga khan na baadaye akaenda Kenya kwa matibabu zaidi na baadaye akarudi nyumbani lakini akawa bado anaumwa, sasa hivi wana familia wanafanya taratibu kwa chochote kitakachotokea...
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake
Mohammad “Mjomba” Shareef amezika ama kuchoma maelfu ya miili ya watu kwa miaka 28 kaskazini mwa India mji wa Ayodhya. Mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita 1992 na mwili wake haukuwahi kuonekana zaidi ya nguzo zake tu.
10 years ago
GPLMAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA
Stori: Mayasa mariwata na Haruni Sanchawa
KATIKA hali ambayo siyo ya kawaida iliyowashangaza wakazi wa eneo la Ukonga Mazizini kwa Makobe, baba mmoja aliyefahamika kwa jina la Elisha Zakari amedaiwa kumpiga mwanaye wa kumzaa kipigo kama cha ng’ombe machungani na kusababisha azimie na kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Amani Elisha (10) aliyepigwa vibaya na baba yake mzazi hadi kuzimia kwa siku mbili. ...
10 years ago
GPLMTOTO ALIVYOOMBOLEZA KIFO CHA MAMA YAKE ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA GARI ARUSHA
Marehemu Calista Charles Makoi enzi za uhai wake. Kijana akiomboleza kifo cha mama yake, aitwaye Calista Charles Makoi aliyefariki kwenye ajali mbaya iliyolihusisha basi la Mrindoko Trans na gari dogo lililokuwa linaendeshwa na mwanamke huyo ambaye ni mke wa mmiliki wa Hoteli na Klabu ya AQ iliyopo jirani na stendi ya mabasi jijini Arusha Januari 5, 2015 maeneo ya Kikatiti mkoani Arusha. Taswira ya ajali hiyo.… ...
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Baba, mama, mtoto wafa ajalini
Familia inayowajumuisha baba, mama na mtoto ni miongoni mwa abiria 25 walipoteza maisha katika ajali za barabarani zilizotokea katika mikoa ya Singida, Lindi na Kilimanjaro.
10 years ago
GPLMAMA, BABA WADAIWA KUMSULUBU MTOTO!
Stori:Â Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MATUKIO ya vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa watoto yamekuwa yakiendelea kufanyika kila siku licha ya kukemewa mara kwa mara, safari hii, baba na mama wakidaiwa kumsulubu mtoto wao.
Katika hali ya kuonesha kwamba vitendo hivyo bado vinaendelea kwa kasi, familia moja iliyopo Kunduchi jijini Dar imeshikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ukatili dhidi...
10 years ago
GPL17 Feb
11 years ago
GPLBABA, MAMA WASWEKWA SEGEREA KWA KUMTUPA MTOTO
Na Haruni Sanchawa
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine wanawapata na kuwatupa. Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kisa hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo mtoto huyo wa mwaka mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wazazi wake wamekutana na mkono wa sheria na kutupwa...
10 years ago
GPLYEMI ALADE AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE
Mwanamuziki Yemi Alade.
Marehemu baba yake Yemi. MWIMBAJI maarufu wa kimataifa wa Nigeria, Yemi Alade, amezungumzia kwa mara ya kwanza kifo cha baba yake aliyefariki wiki iliyopita. Msanii huyo wa kike aliyevuma kwa wimbo wa ‘Johnny’, alitoa kauli yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliandika: “Mungu ambariki. Mbingu imepata malaika mwenye thamani kubwa,†aliandika katika ukurasa wake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania