MTOTO JAJI MSTAAFU AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-G83MYTaanvY/Xqfe-1HUtFI/AAAAAAAAymU/QSa7nq0YpUcPhpo1d4s_oJM3FUJKpwBmACLcBGAsYHQ/s72-c/YJ.jpg)
Mtoto wa kiume wa Jaji Mstaafu wa Tanzania Augustino Ramadhani, Yakud Ramadhani ameeleza kifo cha Baba yake huyo na kusema kuwa alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, ambapo pia hata kabla ya mauti kumfika aliwahi kwenda kutibiwa nchini Kenya.
"Ni kweli amefariki leo mida ya saa 2 asubuhi, alikuwa Aga khan na baadaye akaenda Kenya kwa matibabu zaidi na baadaye akarudi nyumbani lakini akawa bado anaumwa, sasa hivi wana familia wanafanya taratibu kwa chochote kitakachotokea...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-tsQ-*fQnI9jyyZDeF1NlGnkhFw8mDU8VVDnxezFQAt1LYLVz58DIpxF54w5mWaqpi*jurEynWhackPB0MkrfNy/YemiAlade7823.jpg)
YEMI ALADE AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-9CAnKjexaVk/Xqfs2HWYq5I/AAAAAAAC4GU/3J-GbHnKlMIqeJ3xeFtv3uZ6-cxxjumRQCLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZCRA-tSzyHY/XqfsTTx1ShI/AAAAAAALocY/44P8byYuKoQfgHLnuvFZ7PDHkcizN4VtgCLcBGAsYHQ/s72-c/47410160_303.jpg)
11 years ago
Habarileo06 Jun
Baba, mama wasababisha kifo cha mtoto
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.
10 years ago
GPL17 Feb
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pI-srGR1f1g/U_MWNC-xCUI/AAAAAAAGArM/vwRy04yWoX8/s72-c/LewisJaji.jpg)
Rais Kikwete atumia Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Lewis Makame
![](http://4.bp.blogspot.com/-pI-srGR1f1g/U_MWNC-xCUI/AAAAAAAGArM/vwRy04yWoX8/s1600/LewisJaji.jpg)
Marehemu Jaji Mstaafu,Lewis Makame enzi za uhai wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFUBYqpa*JOBR0zE-C7g-fAzMdyHetWbYVzSgiUZRomqU2nHqwruhZI5hKtKucQD3eZe5DKVIjjegKFHxUq2qmYR/ateseka.jpg)
ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE
9 years ago
Bongo527 Nov
Baba yake Paul Walker naye awashtaki Porsche kwa kifo cha mwanae
![Paul-Walker](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Paul-Walker-300x194.jpg)
Baba yake na Paul Walker Jumatano hii amewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya magari ya Porsche akidai kuwa gari ambalo mwanae alikuwa akiendesha lilikosa vitu vya kiusalama ambavyo vingeweza kuokoa maisha yake.
Muigizaji huyo wa Fast & Furious alifariki November 2013 kwenye ajali mbaya ya gari huko Santa Clarita, Calif., iliyomuua pia rafiki yake Roger Rodas, dereva wa gari aina ya 2005 Porsche Carrera GT.
Mashtaka hayo ni kama yale yaliyowasilishwa na mtoto wa Meadow, ...
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake