MUUZA MISHIKIKA AKAMATWA NA NYAMA YA PAKA NA KISHA KUSULUBIWA NA WATEJA WAKE
Muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi anayejulikana kwa jina maarufu la Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka na kisha kusulubiwa na binadamu wenye hasira. Hivi mtu huruhusiwi kuwa na nyama ya paka.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka
Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Tigo ilivyowafikia wateja wake katika Nyama Choma Festival
Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Prisila Elifas (kushoto) akiwahudumia wateja waliojitokeza kwenye banda lao kujipatia huduma za kampuni hiyo wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Mfanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Rayu Othman (kushoto) akimhudumia mteja aliejitokeza kwenye banda lao kujipatia huduma za kampuni hiyo wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha...
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Muuza nyama amuua mkewe kwa mapanga
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA.
POLISI mkoani Arusha, inamsaka muuza nyama, Lucas Lomayan (35), mkazi wa Ilboru, kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumcharanga mapanga kwa kile kinachodaiwa wizi wa fedha za biashara na wivu wa kimapenzi.
Akizungumza na Uhuru, mtoto wa wanandoa hao, Jesca Lucas (10), alidai juzi saa 10 alfajiri, alisikia baba na mama yake wakizozana kuhusiana na masula ya wizi wa fedha na wivu wa kimapenzi.
Alidai baba yake alimweleza kwa ukali mama yake kuwa, alichukua fedha sh. 600,000...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
11 years ago
Mwananchi17 May
Njaa yaisukuma familia kula nyama ya paka
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Achinja mpenzi wake kisha ajiua
MKAZI wa Kijiji cha Migori mkoani Iringa, Alex Sihayo (38) amemchinja kwa kumkata koromeo na kumua mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake kisha kujiua kwa kunywa sumu. Kamanda wa Polisi...
9 years ago
MichuziAMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA
Na Mwandishi wetu,Mbeya,Jamiimojablog
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa 7 mchana huko katika kijiji cha Malolo, Kata ya Msia, wilaya ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-2QH0PUKTJC0/VONfD20NZ-I/AAAAAAADZt8/fQbvRTJEZak/s72-c/6921526e62150a8871edd4c0bd02a8ef.jpg)
AMUUA MDENI WAKE NA KUMZIKA MWENYEWE KISHA KUHAMA NYUMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-2QH0PUKTJC0/VONfD20NZ-I/AAAAAAADZt8/fQbvRTJEZak/s1600/6921526e62150a8871edd4c0bd02a8ef.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-buN1feY9SYQ/VONfEDjNNuI/AAAAAAADZuA/gHkFqTaXPkA/s1600/d644d6c391d60d1b0c603848fac992a5.jpg)