IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA
Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo). Na Mathias Canal, Iringa WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Punda walishwa mihadarati Kenya
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Nyama ya punda yasindikwa nchini
Na Khamis Mkotya, Dodoma
SERIKALI imekiri kuruhusu uanzishwaji wa kiwanda cha kusindika nyama ya punda kilichopo mkoani hapa.
Imekiri hivyo baada ya Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), kuibua hoja hiyo juzi jioni wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Katika hoja yake, alitaka kujua juhudi zilizofanywa na Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA), kukagua viwanda vya usindikaji wa chakula ikiwa ni pamoja na kiwanda...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/nemc.png)
NEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka
Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...
11 years ago
Mwananchi17 May
Njaa yaisukuma familia kula nyama ya paka
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mji wa Shenzhen nchini China waweka marufuku ya ulaji wa paka na mbwa