Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyama ya punda yasindikwa nchini

Na Khamis Mkotya, Dodoma

SERIKALI imekiri kuruhusu uanzishwaji wa kiwanda cha kusindika nyama ya punda kilichopo mkoani hapa.

Imekiri hivyo baada ya Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), kuibua hoja hiyo juzi jioni wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Katika hoja yake, alitaka kujua juhudi zilizofanywa na Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA), kukagua viwanda vya usindikaji wa chakula ikiwa ni pamoja na kiwanda...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA

Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo). Na Mathias Canal, Iringa WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...

 

9 years ago

GPL

NEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA

Baraza la taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha Huwa Cheng Company Limited kilichopo mjini Dodoma na kukitoza faini ya shilingi milioni 200 baada ya kubaini kiwanda hicho kinajihusisha na usindikaji wa nyama ya Punda kinyume na utamaduni wa watanzania huku mazingira yake yakiwa hatarishi kutokana na uchafu unaozalishwa kuzagaa kwenye makazi ya watu. Ni mabishano makali baina ya wamiliki wa kiwanda hiki...

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE

Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV

KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.

Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA KWA BAR MBALI MBALI NCHINI

Meneja wa bia ya Safari Lager, Edidh Bebwa(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Jaji Mkuu wa mashindano hayo, Manase Mwasha. Jaji Mkuu wa mashindano Safari Nyama Choma, Manase Mwasha(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager, ...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Punda wakamatwa na bangi

JESHI la Polisi mkoani Arusha, limekamata shehena ya magunia 20 ya dawa za kulevya aina ya bangi yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 18 ikiwa inasafirishwa kwa punda huku...

 

10 years ago

BBCSwahili

Punda walishwa mihadarati Kenya

Kumekuwa na shutuma kuwa Punda hutumiwa vibaya na baadhi ya wanaowamiliki Kenya na wengine wakidaiwa kupewa mihadarati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Punda wapendanao wazua kihoja

Punda wawili waliozua mjadala kutokana na mienendo yao ya kujamiiana sana wameunganishwa tena nchini Poland.

 

9 years ago

BBCSwahili

Punda na farasi ni marufuku Nigeria

Jeshi la Nigeria limepiga marufuku utumizi wa punda na Farasi katika jimbo la Borno

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani