Mji wa Shenzhen nchini China waweka marufuku ya ulaji wa paka na mbwa
Mji wa Shenzhen umekuwa mji wa kwanza nchini China kupiga marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya mbwa na paka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa
Hukumu hiyo ni hatua kali zaidi ya kuzuia ulaji wa nyama ya mwituni, baada ya kuhusishwa na virusi.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA
Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo).
Na Mathias Canal, Iringa
WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
ISIS waweka mitego kulinda mji wa Mosul
Kundi la wanamgambo wa Islamic State limeunda mitego ardhini kuulinda mji huo kutoka kwa majeshi ya serikali
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i0FHeHtTQ2k/XkbrSuWbhVI/AAAAAAALdeM/ryQom5N-Tu0S3SNVQQLoLaEuer_l_HjfQCLcBGAsYHQ/s72-c/DODOMA%2BHEADEDPAPER.jpg)
NEWS ALERT: TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI 420 WA KITANZANIA WALIOKO KATIKA MJI WA WUHAN NCHINI CHINA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i0FHeHtTQ2k/XkbrSuWbhVI/AAAAAAALdeM/ryQom5N-Tu0S3SNVQQLoLaEuer_l_HjfQCLcBGAsYHQ/s640/DODOMA%2BHEADEDPAPER.jpg)
Dare Es Salaam, 14 Februari 2020
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwaondoa hofu na taharuki Watanzania hususan wazazi, ndugu na jamaa wa wanafunzi takribani 420 walioko katika jimbo la Hubei, mji wa Wuhan Nchini China, ambapo ndio kitovu cha maambukizi ya virusi vya homa ya Corona (COVID-19) kuwa hadi sasa hakuna mwanafunzi au Mtanzania yeyote aliyebainika kuambukizwa virusi hivyo na kuwasihi kuendelea kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kufuatilia hali...
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Waweka Viagra kwenye mvinyo China
Watengenezaji wa pombe nchini China waliongeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume yaani Viagra katika maelfu ya chupa za pombe
5 years ago
Chronicles 9923 Feb
Global Camera System Market Analysis 2020 Stryker Endoscopy, Fentex Medical, Aesculap, Smith & Nephew, Shenzhen China Medical
Global Camera System Market Analysis 2020 Stryker Endoscopy, Fentex Medical, Aesculap, Smith & Nephew, Shenzhen China Medical Chronicles 99
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-d6-y7zI6uHs/U0JbgIdgm9I/AAAAAAAFZIw/L9BP5KI4VJ8/s72-c/unnamed+(75).jpg)
WATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA MUUNGANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-d6-y7zI6uHs/U0JbgIdgm9I/AAAAAAAFZIw/L9BP5KI4VJ8/s1600/unnamed+(75).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-F9XK9NsGpPU/U0JbhaNoerI/AAAAAAAFZJA/Jvsr55XoHWU/s1600/unnamed+(76).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania