WATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA MUUNGANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-d6-y7zI6uHs/U0JbgIdgm9I/AAAAAAAFZIw/L9BP5KI4VJ8/s72-c/unnamed+(75).jpg)
Mwenyekiti mpya Suleiman Serera akishikana mkono na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Daninga Philip. Wengine katika picha ni uongozi mzima wa Watanzania wasomao Beijing.
Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa wanafunzi wanaosoma Beijing, China (TzBeijing ) Bw.Philip Daninga akiongea na wanachama wa umoja huo muda mfupi kabla ya zoezi la kupiga kura lililofanyika mwishoni mwa wiki hii kwenye Ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania, China. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Q9Oc7I13l4c/Uxmn2kTQWRI/AAAAAAACbys/VPsMrhmTE3c/s72-c/dddddd.jpg)
Watanzania waaswa kudumisha na kuuenzi muungano.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q9Oc7I13l4c/Uxmn2kTQWRI/AAAAAAACbys/VPsMrhmTE3c/s1600/dddddd.jpg)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai .
(Na Jovina Bujulu, MAELEZO DODOMA). Muungano wa Tanzania bara na Zanzibar ni jambo la kujivunia kwa watanzania wote na katika bara la Afrika.
Hayo yamesemwa leo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai wakati wa mahojiano katika kipindi cha Jambo kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha TBC ONE.
Mh. Ndugai ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema kuwa jambo la Muhimu...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Watanzania wahimizwa kudumisha, kuuenzi Muungano
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Alhaji Mohamed Sinani, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano kwa masilahi ya taifa ikiwa ni njia pekee ya kuwaenzi waasisi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GNojRQF30V8/U10kihrEcvI/AAAAAAAFdfI/ES9OikeANeA/s72-c/unnamed+(22).jpg)
sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China
![](http://1.bp.blogspot.com/-GNojRQF30V8/U10kihrEcvI/AAAAAAAFdfI/ES9OikeANeA/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SqNS9WD7WDw/U10kjdZHGoI/AAAAAAAFdfM/5r9diyd6t78/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ijz3Wx41alQ/U10kj6Z_QsI/AAAAAAAFdfQ/YrNeEdWlwUw/s1600/unnamed+(24).jpg)
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA
11 years ago
MichuziMAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya...
11 years ago
GPLMAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Magavana waweka mikakati ya sarafu moja
10 years ago
VijimamboWANAWAKE WAGOMBEA WAWEKA MIKAKATI YA KUSHINDA UDIWANI NA UBUNGE 2015
Kwa Mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Idadi ya Watanzania sasa imefikia milioni 44.9 huku wanawake wakiwa ni asilimia 51.3 ilihali wanaume ni asilimia 48.7. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inabainisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya kidemokrasia, ya kidunia ambayo...