AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA!
![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnUDk8MHIwlmxJKYZe3b*0ocOpMGa2JZA4ONmttYd*U16RkXAJwLHSDVpd7AuhDUauitdWskhUvz9lT9OCmqvVis/IMG20150121WA0002.jpg?width=650)
Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake. Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu. Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
Hapa na Pale: Amanda Ajipoza Machungu na Paka!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.
Akipiga stori na GPL, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
JK ampoza machungu Warioba
KITENDO cha Rais Jakaya Kikwete kumtunukia nishani aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kuuenzi Muungano, ni sawa na kumlamba kisogo kiongozi huyo. Nishani hiyo...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Matamu, machungu na majigambo ya Rage
WAKATI mmoja kwenye miaka ya 1990, jina la Ismail Aden Rage liliitwa kwenye mojawapo ya viwanja v
Ezekiel Kamwaga
9 years ago
Bongo Movies18 Sep
Ray Azidisha Machungu Ukawa!
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameendelea kushusha maneno kwa chama kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya kufunguka hadharani kuwa hawakuwa na sera ambazo zingemfanya aendelee kubaki.
Staa huyo ambaye kwa sasa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliiambia Amani kuwa, kurudi kwake CCM hakumaanishi kama amehongwa kama watu wanavyoendelea kusambaza habari hizo bali amekwenda kutokana na kuvutiwa na sera.
“Naomba nieleweke kuwa dhamira yangu ya kubaki Ukawa ndiyo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9p1XIJrIoV662vOY4A0*rd5gLbgLzV3iM4RFzxgvKilsW6B1Qs8WuSx88OLJb*NuWNhKP*HARBXTnfVze192lvG/VincentKigosi531.jpg)
RAY AZIDISHA MACHUNGU UKAWA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlonAMgmkmXHcPaju2QwoVoh6se9mMJenz-QooMNv6*m3ow5XNpDr1Ae5IUVT4M4JqM7gcpZ4g1iATZlco6kgP7j3/magige.jpg?width=650)
MAGIGE AONJA MACHUNGU YA MAADUI WA ZITTO
10 years ago
Habarileo16 Mar
Mbunge wa Tunduru aeleza machungu ya wajawazito
MBUNGE wa Tunduru Kusini, Mtutura Mtutura ametoa ushuhuda namna mkewe alivyopoteza maisha wakati wa kujifungua huku akihoji sababu za kutofanyika uchunguzi kwa vifo vya wajawazito, kubaini wanaosababisha kama ambavyo imekuwa ikifanyika zinapotokea ajali barabarani.
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Msuya akumbuka machungu ya kauli yake
Elias Msuya na Elizabeth Hombo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, amekumbusha machungu ya kauli yake ya zamani ya “kila Mtanzania ataubeba msalaba wake”, huku akiwataka Watanzania kuacha kuwa walalamikaji kwa kila jambo.
Msuya aliyewahi kuwa waziri mkuu mara mbili (Novemba 7, 1980 hadi Februari 1983 na Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995), alitoa kauli hiyo bungeni akiwa waziri wa fedha mwaka 1989.
Akizungumza jana katika uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere lililoandaliwa na Kituo cha...
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Chelsea kuendeleza machungu kwa Manchester Uniniteed