Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matamu, machungu na majigambo ya Rage

WAKATI mmoja kwenye miaka ya 1990, jina la Ismail Aden Rage liliitwa kwenye mojawapo ya viwanja v

Ezekiel Kamwaga

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK ampoza machungu Warioba

KITENDO cha Rais Jakaya Kikwete kumtunukia nishani aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kuuenzi Muungano, ni sawa na kumlamba kisogo kiongozi huyo. Nishani hiyo...

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Azidisha Machungu Ukawa!

STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameendelea kushusha maneno kwa chama kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya kufunguka hadharani kuwa hawakuwa na sera ambazo zingemfanya aendelee kubaki.

Staa huyo ambaye kwa sasa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliiambia Amani kuwa, kurudi kwake CCM hakumaanishi kama amehongwa kama watu wanavyoendelea kusambaza habari hizo bali amekwenda kutokana na kuvutiwa na sera.

“Naomba nieleweke kuwa dhamira yangu ya kubaki Ukawa ndiyo...

 

9 years ago

GPL

RAY AZIDISHA MACHUNGU UKAWA!

Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameendelea kushusha maneno kwa chama kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya kufunguka hadharani kuwa hawakuwa na sera ambazo zingemfanya aendelee kubaki. Staa huyo ambaye kwa sasa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliiambia Amani kuwa, kurudi kwake CCM hakumaanishi kama amehongwa kama...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA!

Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake. Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu. Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa...

 

11 years ago

GPL

MAGIGE AONJA MACHUNGU YA MAADUI WA ZITTO

Na Mwandishi Wetu
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile, wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige. Zitto, baada ya msululu wa tuhuma ambazo nyingi zilibainika kupikwa makusudi ili kuichafua taswira yake mbele ya jamii, sasa...

 

10 years ago

Mtanzania

Msuya akumbuka machungu ya kauli yake

msuyaElias Msuya na Elizabeth Hombo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, amekumbusha machungu ya kauli yake ya zamani ya “kila Mtanzania ataubeba msalaba wake”, huku akiwataka Watanzania kuacha kuwa walalamikaji kwa kila jambo.
Msuya aliyewahi kuwa waziri mkuu mara mbili (Novemba 7, 1980 hadi Februari 1983 na Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995), alitoa kauli hiyo bungeni akiwa waziri wa fedha mwaka 1989.
Akizungumza jana katika uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere lililoandaliwa na Kituo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge wa Tunduru aeleza machungu ya wajawazito

Mbunge wa Tunduru Kusini, Mtutura MtuturaMBUNGE wa Tunduru Kusini, Mtutura Mtutura ametoa ushuhuda namna mkewe alivyopoteza maisha wakati wa kujifungua huku akihoji sababu za kutofanyika uchunguzi kwa vifo vya wajawazito, kubaini wanaosababisha kama ambavyo imekuwa ikifanyika zinapotokea ajali barabarani.

 

11 years ago

Mwananchi

Chelsea kuendeleza machungu kwa Manchester Uniniteed

Baada ya kushinda mechi tano, Chelsea kesho watajiuliza kwa Manchester United ambao wanasaka kufufua matumaini yao ya kutetea taji hilo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Amanda Ajipoza Machungu na Paka!!

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.

Akipiga stori na GPL, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.

“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani