PROFESA SAID AHMED MUHAMMED APOKEA NAKALA YA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’
- Naye akabidhi nakala ya kitabu chake kipya kiitwacho; ‘KAMWE SI MBALI TENA’ Profesa Said Ahmed Muhammed (aliyevaa miwani) akimpa nasaha mwandishi wa ‘Paka wa Binti Hatibu’ Bwana Yussuf Shoka Hamad.
Profesa Said Ahmed Muhammed akipokea nakala ya ‘Paka wa Binti Hatibu’ kutoka kwa mwandishi wa kitabu hicho Bwana Yussuf Shoka Hamad.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qMl23p7fDMo/VKvpbr2G_9I/AAAAAAAG7uI/8G44gCsYDcg/s72-c/Picha%2Bya%2B3.jpg)
Profesa Abdillatif Abdalla amtemeblea ‘Paka wa Binti Hatibu’ jijini London
Mshairi nguli na mwalimu mzoefu wa Kiswahili ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe kutoka nchini Kenya, Bwana Abdilatif Abdalla amemtembelea mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar, Bwana Yussuf Shoka ofisini kwake jijini London mapema wiki hii. Katika ziara yake hiyo fupi Bwana Abdalla alifanya mazungumzo mafupi na mwandishi huyo kuhusu kitabu chake kipya cha ‘Paka wa Binti Hatibu’.
Gwiji huyo ambaye ametumia muda mwingi kufundisha Kiswahili nchini Uingereza na Leipzig, Ujerumani...
10 years ago
Michuzi20 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2ZDN9U2ddkk/VMsuF5waGTI/AAAAAAAHATs/CfHA0j5bWqI/s72-c/Untitled1.png)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jScHCTD8FZY/VBraLJ11FeI/AAAAAAAGkSA/WcSshJ8B4R8/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-09-18%2Bat%2B4.09.06%2BPM.png)
Mwandishi chipukizi kutoka Zanzibar aja na ‘Paka wa Binti Hatibu’
Mwandishi anayechipukia kwa kasi katika tasnia ya fasihi ya Kiswahili ambaye pia ni Mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha London, SOAS na Cambridge nchini Uingereza, Bwana Yussuf Shoka Hamad, hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake kipya na cha kwanza kuchapishwa kinachoitwa; ‘Paka wa Binti Hatibu na Hadithi Nyingine’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa simu kutoka nyumbani kwake jijini London, Bwana Yussuf alisema; ‘ Msomi kama binadamu hufa,...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
JK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali
Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza tokea Jumatano, Septemba 9, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Profesa Muhammed Bakari Kambi alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Shirikishi cha Muhimbili, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya...
9 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI ZA BALOZI WA INDIA
10 years ago
Vijimambo25 Apr
Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Algeria
10 years ago
Vijimambo25 Apr
Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Urusi
10 years ago
MichuziWaziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Mabalozi Wateule wa Urusi na Algeria
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI