Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Fedorovich Popov.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb). akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Urusi mara baada ya kupokea Nakala za Hati za Utambulisho. Katika mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri aliishukuru Serikali ya Urusi kwa misaada inayotoa kwa Tanzania...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Apr
Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Algeria
10 years ago
MichuziWaziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Mabalozi Wateule wa Urusi na Algeria
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziWaziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina hapa nchini, Mhe. Hazem Shabat. Tukio hilo lilifanyika Wizarani tarehe 30 Desemba, 2015.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA QATAR NCHINI
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI UTAMBULISHO KUTOKA MABALOZI WA KUWAIT,MALAWI,AFRIKA KUSINI NA KENYA
10 years ago
MichuziWaziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Rwanda na Norway hapa nchini
9 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI ZA BALOZI WA INDIA
9 years ago
VijimamboBalozi mteule wa Switzerland awasilisha nakala za Hati za Utambulisho
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino